Recent content by Mvua inayonyesha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Hana bikra huyoo kwanza msichana bikra hawi hivyo ni maigizo hayo Kuna kitu wanapaka bro hamna kitu hapo na unavyombembeleza ndio unaingia kwenye mitego yake we fanya kumpotezea uonee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Kweli ndugu yangu[emoji2][emoji2][emoji2]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    [emoji2][emoji2]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Hata ww huna stara kwann umesema moja kwa moja jamaa anaroho mbaya yaani mtoto wa miaka Saba tulale nae kweli we unaakili kweli... Yaan kweli sisi wanaume mungu atusaidie kama ndio wanawake kama Hawa dah
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Yaan ww mwanaume wako ajiandae aisee
  7. M

    JamiiForums Tanzania Somo Kubwa wanaume tumepewa kutoka kwa Erik Spoelstra

    Mambo ni magumu sanaaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta sehemu

    Ongera Sana huo ndio uhuru na mwenza wako waache awa viruka njia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Dah ndoa izi yaan ulifurahi coz alikua anaanza afu umesahahu alisema hajaolewa maanake hayuko praud ww kuwa mmeo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Oya uboya kaka mwanamke alishatoka nje huyo hatakuheshimu hata siku moja na ukijichanganya kumuoa ndio itakua shida Sana...alafu nyie wanaume wenginee bhana ebu tafuta hela huyo mkeo hakueshim hata kidg itakua anakusaidia kulipa Kodi wewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanakula vyakula vizuri kuliko familia zao

    Ukute nae ni mke wa mtu aiseee....Yani anakaa anaona wivu mtu kula vizuri na hataki hale vizuri dah
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

    Mkwe sio watu mie baba ake wife alikua ananizoea Sana mara kila baada ya siku mbili simu nyingi salamu mara ya kwanza nilikua napokea ila nilivyoana zimezidi nikawa sipokei alafu namuuliza wife Mzee amepiga alikua na shida gani baada ya hapo akaacha kupika kwangu na akiwa na shida anamwambia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Hamu ndio maisha yenyewe kaka yaani kusingekua na umuhimu kama sio familia na wale wanatuzungukaa kwahiyo bro omba mungu akupe kibali tu ili utoboe lakn si kwahiyo 300k tena hapa mjin dar
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Usipoonga utapata wap demu kutoa hamu zako alafu maisha sio strictly hivyo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaamua kuishi naye niambieni ukweli kuhusu tabia ya huyu binti

    [emoji2][emoji2][emoji2] kijana acha kusikia maneno ya watu Kaa chini binafsi omba mungu alafu fanya uchunguzi binafsi pia jipe mda utajua ila bro kuwa makini mlokolee awezi kukupa mzigoo yawezekana ni muuni tu...
Back
Top Bottom