Tulio wengi hatujuwi kwasababu imetafsiriwa katika lugha za wahusika,inaweza kuwa kwa kiswahili au hata kikabila ilimradi muhusika aelewe na hii ndio ilikuwa sababu ya kunena kwa lugha yan msikilizaji apate ujumbe kwa lugha atakayoilewa
Sawa mkuu nitatembelea huko pia ili niweze pata uzoefu mpya na vipi mkuu unafikiri keenye bars ni bidhaa gani naweza kuwa napitisha usiku zonazonunulika sana,sina uzoefu na mji huu msaada katika hilo pia
Ahsante sana, nimeanza kuzunguka mitaa ya mbagala rangi3, japo nina siku 2 ila angalau panaleta matumaini, lakini ombi langu jengine ni idea ya vibiashara vidogo vya kupitisha keenye bars mida ya usiku ili niwe nafanya kazi usiku pia
Mambo vipi wakubwa, mimi ni mgeni hapa Dar es Salaam, ombi langu kwenu ni kufahamu mitaa ya Dar yenye idadi kubwa ya watu wa kipato cha hali ya chini pia inayoweza kusupport biashara ndogondogo, binafsi nadeal na kupaka rangi na kucha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.