Sidhani kama ni busara kwa mtu aliyewahi kuwa "head of state" kuendelea kuwa wa kimataifa. Sijajua katiba inasemaje kuhusu hili, ila ingekuwa ni vema endapo katiba ingelizuia(kama limeruhusiwa).
Wandugu herini ya xmas na mwaka mpya. Kama mada inavyojieleza ninauza duka la nguo za watoto lenye thamani ya tsh 5.4m kwa tsh 3.5m. Duka lipo zunguni mtaa wa shabiby na ni duka pekee la watoto eneo hilo. Kwa mwenye uhitaji tafadhari ani-pm kwa mawasiliano. Nimeshindwa kuweka picha kwasababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.