Recent content by muyombakeneyo

  1. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    Teh kila mtu ana hisia zake na kila mtu anaguswa kivyake na huyu mtangazaji. Msua1 Unampenda mtangazaji gani wa tv hapa Bongo?
  2. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    Kule TBCCM nina kama miaka mitatu sijaiangalia baada ya habari zake kuegamia upande wa CCM.
  3. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    Binti kasimama! Anashawishi hata uwe unaangalia tv mda wote anapotangaza hata kama habari zisizo na mvuto.
  4. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    Umenifurahisha sana teh teh kwamba Ussein Bolt kasingiziwa.. Teh
  5. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    Nitatenga mda nimfatilie utangazaji wake
  6. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    So huwa unamsikia sauti tu au huwa anatangaza eatv pia?
  7. M

    Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

    Pia macho yake tu teh kwa kweli anajitahidi sana kusoma taarifa za habari.
  8. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    The Somali Civil War is an ongoing civil war taking place in Somalia. It began in 1991, when a coalition of clan-based armed opposition groups ousted the nation's long-standing military government. Various factions began competing for influence in the power vacuum that followed, which...
  9. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Kwa kutumia hivyo vitabu vitano vilivyoandikwa na authors mbalimbali ungejibu au ungeshauri kwa hoja kwa kuwa wewe unaonekana umeshavisoma. Kwa nini usitumie yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu kutoa ushauri au elimu bure kwa waislam walio wengi na si kila muislam kusoma hivyo vitabu.
  10. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Hapa hakuna udini kama unavyoeleza na kujaribu kutuaminisha bwana Shine. Suala ni kubwa ni nini kifanyike ili taifa lisiingie katika mpasuko. Suala la dini huwezi kulikwepa kwani mataifa makubwa yote yana dini wanazoamini. China wana Budhism, India wanaabudu wanyama na miti, UK na US wanaamini...
  11. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Hilo nalo ni jambo la kweli. Utakuta sheikh anachanguliwa kwa kuwa tu ni msemaji mzuri katika umma bila kujali elimu yake. Unafikiri kama hana elimu ya dunia na hata ya dini nini atakachoongea chenye tija zaidi ya kumislead waumini. Kimsingi Bakwata ndio wenye jukumu la kusimamia uchaguzi wa...
  12. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Mkuu Remote ukiangalia sehem walizopita waarabu kama Tabora, Tanga Pwani na mikoa mingi Tanzania maendeleo yamechelewa kufika kutokana na mafundisho mila na jadi za hawa waarabu. Tunashuhudia nchi kama Somalia, Misri na nchi za mashariki ya kati zilivyokuwa na vurugu za wao kwa wao japo ya...
  13. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Ni kweli vyuo vingi vya kikristo havina ubaguzi katika mavazi kama wafanyavyo upande wa pili. Hili mimi nalipinga vikali kwani mavazi hayasaidii kitu kama una akili za wastani.
  14. M

    Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Marnah sijakuelewa ulivyomshambulia bwana Mtoi bila kuwa na sababu au hoja ya msingi. Nadhani wewe ndio baadhi ya wachache mliokosa elimu au kama unayo basi hujaelimika. Mkosoe bwana Mtoi kwa hoja na si kumuita brainless au mtoa pumba. Hapo unabaki wewe kuwa brainless kwa kuwa hakuna...
Back
Top Bottom