Recent content by Muyahud-Alqaeda

  1. Muyahud-Alqaeda

    INAUZWA Alloy Rims na size 24 tyres low profile nauza zinafaa sana

    Nimeuza gari mnunuzi hajafika bei nzuri na gari kaipenda ikabidi tuvue rims tufidie palipopungua Nataka 1,000,000/= Rim na Tyre zake zote 4 Size 24 Sports Rims +255788282409 Kinondoni
  2. Muyahud-Alqaeda

    Naomba kujuzwa sababu za alama za mstari kwenye kucha

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. Muyahud-Alqaeda

    Dada yangu amepima na kukutwa na Kansa ya kizazi naombeni ushauri

    Mimi Sina mashaka na tiba zake ila adress ndio shida... kuhusu kujitangaza nadhani iyo ni personal issue atajua mwenyewe kwani matangazo ni kwa faida yake Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Muyahud-Alqaeda

    Dada yangu amepima na kukutwa na Kansa ya kizazi naombeni ushauri

    Kama wameshindwa kutoa kizazi means ni stage 3 sindio? Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Muyahud-Alqaeda

    Dada yangu amepima na kukutwa na Kansa ya kizazi naombeni ushauri

    Ana watoto watano Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Muyahud-Alqaeda

    Dada yangu amepima na kukutwa na Kansa ya kizazi naombeni ushauri

    Habari zenu waungwana, Nimekuja nikitokea hospital ya ocean road ambako dada angu amepewa majibu ya vipimo kua ana cancer ya Kizaizi stage 1. Anatakiwa aanze tiba ya mionzi. Wanadai kizazi kimethirika kiasi hawawezi kukitoa. Naomba mwenye wazo au mtazamo mbadala unaoweza kusaidia kupata tiba...
  7. Muyahud-Alqaeda

    Naomba msaada

    Weka dawa apa uponye wengi na Mungu akusaidie Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Muyahud-Alqaeda

    Naomba msaada

    Wewe ni me au ke Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Muyahud-Alqaeda

    Ufanisi wangu kitandani umepungua. Je, nitumie mbinu gani kurudisha uwezo wangu?

    Fanya mazoezi kunywa maji mengi kabla hajaanza kugawa nje Akianza na akapata mwamba msuguaji mzuri bro nakuapia utakufa kwa stress Anza leo mazoezi nusu saa asubuhi na jioni kila siku Achana na junk food Achana na sukari kunywa chai ya asali na tangawizi mwezi wa nne tar 15 njoo...
  10. Muyahud-Alqaeda

    Dawa gani ya kuongeza maumbile ya kiume?

    Leta 100,000tzs,nakupa dawa niliyotumia mimi...me sio mganga ila katika kuhangaika nikakuta website moja maweandika mafuta ya mmea flani ukichanganya na naniliu Ni dawa yakunenepeshe zakari nikanunua Nikachanganya nikawa napigia puchu, bro it works for sure ila hairefushi, km wewe chako...
  11. Muyahud-Alqaeda

    Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Lipia tangazo Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Muyahud-Alqaeda

    Msaada: Choo cha mtoto kinatoka na Damu

    Asante mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Muyahud-Alqaeda

    Msaada: Choo cha mtoto kinatoka na Damu

    Mwino ni nini? Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. Muyahud-Alqaeda

    Msaada: Choo cha mtoto kinatoka na Damu

    Mtoto yuko vizuri Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. Muyahud-Alqaeda

    Msaada: Choo cha mtoto kinatoka na Damu

    Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom