utajiri..
utajiri.
maana isiyo sahihi ya utajiri amabayo wengi tumeikariri...👇🏾👇🏾👇🏾
"""Utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi au rasilimali za thamani, kama vile pesa, ardhi, biashara, au vitu vingine vya thamani""""
maana halisi ya utajiri...
utajiri hauhusiani tu na fedha pekee; unaweza...
wazi sasa ni kwamba umakini unakuwa mdogo kwa wengi wa watumishi wetu tumebakiwa na tabia za wakoloni za kusahau nafasi zetu ni kwa ajili ya wale tunaowatumikia. wengi tunafanya kazi siku ipite tulipwe na ndio maana tunafeli kutoa huduma sahihi...
Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI lakini ajabu majina yalikosewa.
MARA YA PILI vivyo hivyo nililipia na kuacha MAJINA SAHIHI pia...
ukitoa code za mtandao (namba 4 za awali) zinabaki digit 6. namba ya juu kwa digit 6 ni 999,999. ko bila kubadili code za mwanzo za mtandao tunatarajia kuwa na watumiaji laki 9, 99 elfu mia 9 tisini na kenda.
muda huo wewe una laini tatu za mtandao mmoja..
hopeful umenipata.
sie tulienda jkt tuliweza kulenga 100m na tukapata bull...
tunategemea anayekamata bunduki kwa maasi awe expert sana kuliko vijana wa jkt wa risasi 5.
bado sio salama sana kuacha kichwa exposed.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.