Recent content by muvimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukaushia dagaa

    Ni technology nzuli lakini inakuwa na high operation cost, the best technology ni solar dryer Aina hii ambayo ni container type inatumia gas pia ni nzuli kwa samaki wakubwa wenye mnofu mkubwa kama Sangara sio dagaa ambao Wana very small skini pia muscle, pia inachukua volume ndogo ya mzigo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa upatikanaji wa ng'ombe na mbuzi kutoka Rufiji

    Unataka kiasi gani njoo inbox tuyajenge
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Hbr ya Leo wadau, nilipenda kuhuliza mwenye update ya wastani wa bei ya mbuzi na kondoo kwa soko la vingunguti pia Pungu kwa sasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Hbr za ASB wadau nilipenda kujua bei ya mbuzi wa Nyama ikoje katika soko la vingunguti pia Pungu kwa mtu mwenye update,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mahindi Rwanda..

    Mkuu salama nimeona thread yako, binafsi nafanya biashara ya nataka moja ya soko nalofocus ni Rwanda, embu naomba utupe mchakato pia bei zikoje, mbali na kuuiza nataka natrgeneza unga sembe, line yangu ina capacity ya 10 tons per day naomba unipe details
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuna shahada nyingi mtaani zisizo na kazi

    Kwa haraka haraka mtoa mada ni Nanga!!!!! 😂😂😂😂
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuna shahada nyingi mtaani zisizo na kazi

    Kamwe kamongo atabaki kuwa kamongo na hawezi kuwa mamba,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuna shahada nyingi mtaani zisizo na kazi

    Kiongozi pole Sana, huu ni mtazamo wangu na reaction yangu binafsi, nimeandika uzoefu wangu na si copy and paste, sina approach ya jinsi hiyo, kama imekugusa pole Sana, huo ni mtizamo wangu na Pia uzoefu wangu katika pitapita zangu za hapa ma pale, huo ndo uhalisia nafikiri na wewe no mmoja wao wao.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kazi anayofanya Rais Magufuli ya Kufumua na kusuka nchi ni muhimu kwa mabadiliko chanya ya Muda mrefu

    Ni kweli maendereo ni process nakubaliana na wewe pasipo Shaka, hata hivyo muda wake utakoma pia atakuja kiongozi mwingine nae atachukua kijiti, si kweli kwamba awamu ya 5 no mwarobaini wa kumaliza matatizo yoote yaliyopo kwa sasa,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaalika Ikulu Wafanyabiashara wakubwa watano kutoka kila Wilaya

    Nchi hii itajegwa na Watanzania na si mgeni au mzungu toka ulaya,tunahitaji mfumo wazi katika kufanya biashara na sio mambo ya gizani au Chini ya carpet, colleague's mkutano huu utafumua mambo ya uvunguni na kuweka wazi watendaji Vimeo katika serikari, ukitaka kuona kuna changamoto katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaalika Ikulu Wafanyabiashara wakubwa watano kutoka kila Wilaya

    Kiongozi nashukuru, binafsi nipo neutral katika ili, katika mwaliko huu hakuna itikadi za uchama hapo, hapo kaita wawakilishi wa wafanyabiashara na bado wito unasema hata kama no kiongozi awe wa dini au chama maadam ni mfanyabiashara anazo sifa za kutoa maoni, hata hivyo huo ni mtazamo wangu na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuna shahada nyingi mtaani zisizo na kazi

    Mkuu nashukuru kwa kuja na Uzi huu mzuli na Pia umekuja wakati muafaka, nikubaliane na wewe tumekuwa na tafiti kibao, makongamano Mengi Sana juu ya suala la ajira, niseme kwamba sekta binafsi no muhimu Sana Sana ili kupunguza changamoto hii ya ajira. Hata hivyo mbali na mapendekezo mengi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kazi anayofanya Rais Magufuli ya Kufumua na kusuka nchi ni muhimu kwa mabadiliko chanya ya Muda mrefu

    Kujenga uchumi sio suala la siku au mwaka mmoja, ingekuwa hivyo basi mtu angezaliwa na kutembea siku hiyo hiyo, struggling kubwa ya Rais wetu haiwezi kuonekana kwa dakika moja, jamani embu tuwe wakweli na muda mwingine Mnyonge mnyogeni lakini Hali yake apewe, wengi tunaopiga kelele hatufanyi...
Back
Top Bottom