Recent content by muuza_unga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je wajua.......?

    Je, wajua...? Watu wa mwabepande wamekubali viwanja vyao vipimwe na kupatiwa hati baada ya kuwa na kikao na waziri wa ardi, Mama na professor: ANNA TIBAIJUKA.Wakati wengine wanatangaza nia zao na siasa, wengine wanafanya kazi.....tumechoka siasa na midahalo isiyo na tija......tunataka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwabepande wamekubali viwanja vyao vipimwe na kupatiwa hati

    Je, wajua...? Watu wa mwabepande wamekubali viwanja vyao vipimwe na kupatiwa hati baada ya kuwa na kikao na waziri wa ardi, Mama na professor. ANNA TIBAIJUKA. Wakati wengine wanatangaza nia zao na siasa, wengine wanafanya kazi. Tumechoka siasa na midahalo isiyo na tija,tunataka wafanyakazi.
Back
Top Bottom