Recent content by Muuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

    Ni elimu ndogo mkuu. Kipindi kile inaanza ilikua bomba ila this tym ni mtori tu. Wengi wa watangazaji nawafaham ni madogo tu wa mtaani hapa viroba kwa sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Garisa

    Hahhaaa mkuu we utakua genius wa mirembe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Ondoka mzee, kalale mzee.....umechoka mzee. ..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kisukuma

    Huku kuumizana ndimi sasa duh
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Hilo jibu ngoja nishushie na kiroba nilale
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hamlioni hili??

    Ngoja tuone kaka maana na hili linasubiri tume
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hamlioni hili??

    Fursa hahhahaaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hamlioni hili??

    Kaka hawa watu sijui wanataka tufike wapi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hamlioni hili??

    Hizo kura zitoke kwa waathirika?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hamlioni hili??

    Wakuu nawasalim popote mlipo. Kiukweli nashangazwa sana napopita maeneo ya Dar haswa Temeke na mnazi mmoja kuna watu wanaoendesha maonesho ya kuhusu freemanson na matumizi ya kondom Kwa yeyote aliyewahi kuwaona watu hawa wanawadanganya watu eti wao walikua fremanson wakakimbia(sina uhakika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinana yupo Moshi Mjini kwa ziara ya Kichama

    Hivi BAVICHAni nin mkuu???maana kuna mtu kanambia eti ni baraza la vichaa😁
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Mbunge Selasini na Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Rombo ajiunga na CCM

    Kipi hicho texas
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vitz Rs inauzwa 4.5M

    Kweli muuza ugoro
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yangu imefumba macho??

    Wakuu nawasalim popote mlipo. Kiukweli nashangazwa sana napopita maeneo ya Dar haswa Temeke na mnazi mmoja kuna watu wanaoendesha maonesho ya kuhusu freemanson na matumizi ya kondom Kwa yeyote aliyewahi kuwaona watu hawa wanawadanganya watu eti wao walikua fremanson wakakimbia(sina uhakika kama...
Back
Top Bottom