Recent content by muudy

  1. M

    BAKWATA waunga mkono Uchaguzi Kurudiwa Zanzibar

    aliuvuruga nani?? hebu tueleweshe sisi wazanzibar sisi mbna hatumjui?
  2. M

    Ndoa sasa zimekosa thamani kwa hali hii

    Habari zenu wanajf?? karibuni tujadili hili maana mwenyew napatwa na mashaka kidogo had nafikia kusema bora uwe upo upo tu kuliko kuingia kwenye ndoa!! ok turudi kwenye mada yenyewe ni hivi kama kawaida yangu huwa nikiendaga dukani kununua T-shirt au suruali hupenda kumpelekea fundi wangu...
  3. M

    Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

    Habari zenu wana JF? Leo naomba nishee nanyi aina na vigezo za yule nitayekuwa nae maishani 1) Awe mpole na mtulivu: Namaanisha asiwe mtu muongeaji saana kwana hata mm nipo very polite 2) Awe na maadili mazuri: Namaanisha awe amepata malezi yaliyo mazuri na awe mke mwenye kuijali na...
  4. M

    Msichana anapokuambia anakupenda

    That's was reality mkuu
  5. M

    Msichana anapokuambia anakupenda

    Mambo vipi wana Jf wenzangu? Karibuni tujadili hii mada maan hadi sasa nachanganyikiwa kabisa sijui ndio napendwa au zuga tu! Ok turudi kwenye mada. Just imagine wakati nikiwa na mishemishe zangu ghafla kuna msichana wa mtaani na namfahamu pia ananiita nilipomsogelea tu bila ata ya...
  6. M

    Wanawake wote wanajiuza ila kila mmoja hutumia njia yake tu ya kujiuza!!

    Mabibi na mababu zetu hawakuwa stress za pesa wala nn na maisha yalienda poa tu!!
  7. M

    Wanawake wote wanajiuza ila kila mmoja hutumia njia yake tu ya kujiuza!!

    Habar wana jf?? Samahanin nyoote mtakaoguswa na post hii ila ndio ukweli wa mambo ulivyo. Kwani kila mwanamke wa sasa anaamini mapenzi ni pesa na ndio maana wamezua msemo MAPENZI PESA na wengine hawathamini katika mahusiano ila mtu mwenye Pesa sasa ww mdada mwenye mawazo kama haya...
  8. M

    Mwanamke akikuuliza maswali haya anamaanisha nini hasa?

    inaonesha ww haujui ata mapenzi ni nini maanake ume coment kinyume na nilivyouliza ukiwa hauna mchango bora ukimye!!!
  9. M

    Mwanamke akikuuliza maswali haya anamaanisha nini hasa?

    Mambo vipi wadau wangu wa MMU nahisi mko poa huku mkiendelea na majukumu. Kama ilivyo ada karibuni tujadili swali hili maana hadi sasa napatwa na mashaka isijekuwa majibu ya swali ndio yaliniponza . Kwa kweli kuna binti nilikuwa nae karibu alinizoea sana na alipenda mda wote tuwe...
  10. M

    Mrejesho: Wanawake ridhikeni na jinsi Mungu alivyowaumba

    sisi wengine tunapenda weusi!!
  11. M

    Mrejesho: Wanawake ridhikeni na jinsi Mungu alivyowaumba

    Hahaha!!! sasa timbwili linakuja hapa!!! wengine wanapobadilisha rangi wanakaa kama misukule ya Gwajima!!
  12. M

    Mrejesho: Wanawake ridhikeni na jinsi Mungu alivyowaumba

    Mikorogo ni sheedah!!! Aissee!!
  13. M

    Mrejesho: Wanawake ridhikeni na jinsi Mungu alivyowaumba

    Habari zenu wana JF, mko poa? Kwa kweli nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana ila kutokana na sababu tofautu tofauti nikamwagana nae kwa wale wadau wangu watakuwa wameshaelewa kwanini nilimwagana na hizo sababu nilizielezea katika post zangu za nyuma zilizopita na baada ya feedback...
Back
Top Bottom