Hapa jimbo ni la Chadema mwanzo mwisho hatuhitaji gamba la aina yoyote ile tunahitaji chadema toka kwenye mizizi hadi juu mjengoni unatuchefua unapo tamka magamba.
M/kti mkuu Mjini.
Hakuna kiongozi CDM atafuta nafasi ya uongozi wowote kwa ku tumia uchawi sisi tunatumia sera ambazo wanainchi ndio wanachotaka toka kwa viongozi. Ila CCM inajulikan kwa kutumia uchawi mfano hahili pale Chenge alivyo kamatwa usiku akologa bungeni.
Nyie nivibaraka watumwa wa maccm mimi nimetembea ziara ya wiki 2 wa Mweshimiwa kaeleza michango yake akiwa bungeni na jimboni kwake watu wanamkubali zaidi ya mnavyo fikili. Kuna recoreded conversation kati ya makada wa ccm na huyo Flatel wenu kumtumia asimame eti iwe rahisi kwao kushinda sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.