Mbona CAG huwa kila mwaka anakagua tu ayo makusanyo. Isitoshe skuizi tax zinalipwa mojakwamoja bank ambapo kwa wakati huo huo inaonekana kweny tax systems zilizopo na bot. Ni kujiongeza tu kdg kutafuta ukweli.
Mfano makusanyo Ya Domestic Revenue peke yake hayajawai kushuka 600bn kwa mwaka wa...
Kama Jewish bible ambayo ni sawa na agano la kale kwa most christians ilikuwa au ipo na vitabu 24 tu, je hivyo vilivyozidi vya wakatoliki na waprotestants walivitoa wapi?
Fedha ikiwa BOT inaweza kukopeshwa kwa mabenki binafsi kwa faida, au zinaweza kutumika kwa miradi ya serikali pale inapoitajika. Zikiwa FD inaipa riba shirika au mtu binafsi au kikundi cha watu binafsi wakati ela iyoiyo kama serikali ina uhitaji inakopeshwa na taasisi za fedha kwa gharama kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.