Recent content by muthe_x

  1. muthe_x

    Leonardo Da-Vinci

  2. muthe_x

    Leonardo Da-Vinci

    we jamaa huna fact yeyote hivi we umezaliwa tu umekuta wazazi wako wanasari may be ni wa kristo na we umekua mkristo na wangekua waislamu na we wenda ungekua muislamu tu...tatizo ukiwa sana pro na dini habari nyingine hutaki kusikia na unakua blind!...kama waafrika tulikua tuna abudu miti na...
  3. muthe_x

    Leonardo Da-Vinci

    Hapa sizungumzii mwaka ambao da vinci aliishi…hizi habari zilikuepo tangu zamani wala hakua da vinci wa kwanza kuzizungumzia habari hizi. hiyo ni picha ya kubuni ndio wala sijasema kua ni picha halisi lakini aliibuni akimaanisha kitu ndio maana utapata theory nyingi kuhusu hiyo picha...
  4. muthe_x

    Leonardo Da-Vinci

    Ukiachana na picha ya Monalisa pia Leonardo alichora picha maarufu ya "the last supper" ambayo pia ilizua utata kwani inadaiwa kuna siri kubwa iliyofichwa kwenye picha hiyo. Inadaiwa ya kuwa huyo mtu aliyekaa pembeni ya yesu kristu upande wa kushoto alikua ni Marry Magdelena
  5. muthe_x

    Leonardo Da-Vinci

    ​monalisa
  6. muthe_x

    Leonardo Da-Vinci

    Leonardo da Vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baloon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya...
  7. muthe_x

    kuyeyuka kwa barafu maeneo ya antarctiaca na arctic nini chanzo? global warming?

    Nini chanzo cha kuyeyuka kwa barafu katika maeneo ya arctict na antarcticta? Nadhani jibu litakua rahisi sana kama ku muuliza motto wa darasa la tano. Nalo ni kuongezeka kwa joto duniani linalosababishwa na shughuli mbalili mbali za binadamu. Hili ndilo wengi wetu tumekua tukisikia katika vyombo...
  8. muthe_x

    msaada heslb

    Name : KIMISHUA, ANGELA Institution : ST. AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (SAUT) Course : BAPRM Year of Study : 1 Loan Breakdown Meals and Accommodation (MA) 1,852,500 Books And Stationary (BS) 200,000 Field Practical and Trainings (FPT) 620,000 Tuition Fee 1,040,000 Research 0...
  9. muthe_x

    samahan nichekie mkopo S0672/0311/2010

    Name : OMARY, MWALIMU B Institution : DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION (DUCE) Course : BAED Year of Study : 1 Loan Breakdown Meals and Accommodation (MA) 1,852,500 Books And Stationary (BS) 200,000 Field Practical and Trainings (FPT) 620,000 Tuition Fee 780,000...
  10. muthe_x

    jordan maxwell: there is nothing as hell.......hakuna kuzimu

    HELL? Churches of Christendom have misled Christians on virtually every teaching in the Bible. The church either misinterprets, misunderstands, or mistranslates, and generally misleads the Christian world into believing things that are not accurate. A classic example is the misunderstanding of...
Back
Top Bottom