Recent content by mutegulo

  1. mutegulo

    Msela na Mbabe TAMISEMI walivyoichonganisha awamu ya tano na wananchi na wafanyakazi

    Nchi hii labda aje malaika, lakini Kama ni binadamu Hawa Hawa lazima tu wamseme ,nyimbo hizi zilikuwa na beti hizi hizi kwa JK wakati Yuko madarakani, zikahamia kwa JPM na muda si mrefu tutaziimba kwa SSH, pengine JPM alilijua hili na akaamua Kama alivyoona. Hebu tujiulize hivi huyo Katibu...
  2. mutegulo

    BASATA wapo wapi? Wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi, tena bila uoga

    BASATA wako likizo siku wakirudi wataona na kusikia.
  3. mutegulo

    Je, Ukerewe inaandaliwa kuwa mkoa mpya?

    Ulisisikia wapi, au stori za vijiweni tu
  4. mutegulo

    Naomba wasifu wa Dkt. Charles Msonde, Katibu wa NECTA

    We Ukijua kila Jambo chini ya jua hili utakuwa maljasted tu. Elimu si Kama ushabiki wa mpira ndg. Acha wataalam wafanye.
  5. mutegulo

    Suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa fedha yetu ya ndani limetupa maumivu sana katika awamu hii, sio la kujivunia wala kujisifia hata kidogo!

    pole sana. Kwa kupenda vya bure. Kumbe ndio sababu ya kuwadaganya watz kwa sera ya maendeleo ya watu bila barabara,?. Na kuwaza dhamana ya madini !!!!?.
  6. mutegulo

    GE2020 Tundu Lissu ni Mtu hatari asipuuzwe!

    Hata kwa kikwete ngonjera zilikuwa hizihizi, mnabadilisha maneno tu tune ileile. Kwa maneno yako kuwa ni mtu hatari Basi huyu akipewa nchi ataharibu. Hatapewa.
  7. mutegulo

    Wanajisifu wanaijua Sheria kumbe wameikariri Sheria ila hawailewi wala hawaifuati

    Kupigwa marufuku mikutano ya siasa ndio owe sababu ya kutoheshimu wimbo wa taifa?
  8. mutegulo

    Ualimu ni kazi ya heshima na iliyotukuka ila sisi Waalimu ndiyo tunaidhalilisha wenyewe

    Basi ukajiona mwenye akili Sana hapa duniani ingawa bado watoto wako wanafundishwa na walimu unaowadharau. Pengine waweza sema oh wanangu wanasoma shule zile za akina fulani, hata hao wamesoma vyuo hapa hapa bongo, Pole kwa kudhani embe la kutoka Kenya, Burundi Msumbiji ni tamu zaidi ya embe...
  9. mutegulo

    Walimu wa redioni/Tv kipindi cha Corona,wanafundisha au wanatusomea?!

    Shida yetu watanzania wengi ni much know sana. Sawa umeona udhaifu wa mwl au walimu wachache hao, ndo unajuisha kwa wote utafikiri walimu wote nchi hii wanasoma shule moja na chuo kimoja.ingawa mtaala ni mmoja. Au kwako kufundisha na kujifunza ni kuongea maneno mengi eti kwa kigezo cha kufafanua...
  10. mutegulo

    Ushindi wa Tanzania juu ya janga la Corona

    Peke yako ndo juha. Unayefurahia kusikia watanzania wakipata mabaya.
  11. mutegulo

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

    Pole sana Yaani kumbe ukijiunga hapa tayari wewe ni msomi? Nadhani shida ni vielimu vyetu hivi. Unahisi unajua kila kitu hapa duniani. Kisa tu JF. Mara ohh great thinker. Duh!!!!
  12. mutegulo

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

    Alotruliwa dakt by professional.kama hujui ni vyema ukawa kimya tu.
  13. mutegulo

    Wabunge wa CHADEMA waliojiweka karantini leo wameingia bungeni bila kutekeleza masharti ya Spika

    Hapo sasa wamechanjwa kwanza ndo wakaingia bungeni? Kama waliondoka kwa sababu bungeni kuna corona. Je warudi ili waambukizwe? Au bungeni limekuwa fumigated?
Back
Top Bottom