Recent content by Mutani D. Yangwe

  1. Mutani D. Yangwe

    Street Child to Soccer Star " Documentary Mpya ya TSC sports Academy - Mwanza

    Angalia documentary iliyondaliwa na TSC sports Academy kituo cha michezo kwa watoto wa mazingiwa magumu jijini Mwanza, kwa ajili ya maandalizi ya safari yao ya kwenda Brazil kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kwa Watoto wa Mitaani. Documentary inaonyesha maisha watoto na vijana wa mitaani...
  2. Mutani D. Yangwe

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama?

    Bwana Maranya hii ndio kazi ambayo TSCAcademy inafanya, angalia hiyo video alafu utajua vijana tunaofanya kazi nao, lakini elewa Taasisi yangu haichukui wa kukusanya fedha kwa watoto, familia, tunatoa mafunzo, vifaa vya kichezo vikiwemo viatu bure, tunalipia maeneo ya kufanyia mazoezi yetu...
  3. Mutani D. Yangwe

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama?

    ............ Hahahaaaa Bwana Mwita mimi ndie haswaa, asante kwa kujaribu kunisaidia kuhusu mbunge wa mahakama; Ngoja nikusaidie Hakuna mmbonge wa Mahakama kisheria, na katiba ya sasa, wabunge wote wanatokana na vyama vya siasa baada ya kupendekezwa, kupitishwa na kupigiwa kura katika majombo yao...
  4. Mutani D. Yangwe

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama?

    Pole sana wee ndo hujaelewa soma tena hapo juu kisha tafakari
  5. Mutani D. Yangwe

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama?

    Simaanishi kuvuliwa CDM kwani anaposema mbunge wa mahakama anamaana gani? Sini kuwa mahakama imempa ZZK haki ya kutovuliwa Ubunge kwa kunanyan'ganywa uanachama wake, kama yeye Lissu aliposhinda kesi yake mahakamani hakuna tofauti
  6. Mutani D. Yangwe

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama?

    Umeonaaaaaa siasa mchezo mchafu sana wamenuna ndani nje wanacheka alafu wananchi wanaumizana
  7. Mutani D. Yangwe

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama?

    Mh. Tundu Lissu anaposema kiwa Mh.Zitto ni Mbunge wa Mahakama ni kudharau Mahakama? Mbona yeye Mh. Lissu lapewa Ubunge huo wake na mahakama, na wabunge wetu wa CCM na CDM wamepewa ubunge na mahakama baada ya kushinda kesi zao? Napata taabu kuelewa mtu anapotafuta haki yake ya kisheria kwenye...
  8. Mutani D. Yangwe

    Shirkia la IMF limeonya Nchi za Afrika Mashariki kuhusu sarafu moja

    Lazima tuwekeze kwanza kiuchumi,, hasa miundombinu kama barabara, reli, bandari na anga na kwenye viwanda kisha huduma za jamii kama afya na elimu baada ya hapo ndio tunaweza kuingia katika misingi ya soko la pamoja la kiuchumi, faida inaweza kuwepo lakini ufisadi wa nchi zetu ndio unakwamisha
  9. Mutani D. Yangwe

    Shirkia la IMF limeonya Nchi za Afrika Mashariki kuhusu sarafu moja

    Shirika la fedha duniani limeonya jumuiya ya Afrika Mashariki dhidi ya kuharakisha mpango wake wa kutaka kuwa na sarafu moja Mataifa ya jumuiya hiyo yalIanzisha mkakati wao wa kutaka kubuni sarafu moja inayoweza kutumika katika nchi wanachama ili kurahisisha biashara katika kanda hiyo. Taarifa...
  10. Mutani D. Yangwe

    UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    Baada ya mahakama kuu kuzuia CC ya Chadema kumjadili Zitto wa kujadili uanachama wake mpaka rufaa yake isikilizwe, je Chadema wako tayari kupitia rufaa ya Zitto pamoja na mizengwe yote hii kutokea na mpaka kufikashana mahakamani. Na je nini kitatokea kama Rufaa yake itatupiliwa mbali na CDM au...
  11. Mutani D. Yangwe

    Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

    Kitila amruka Slaa Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo amesema kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa kuwa alikiri kwamba Zitto alikuwa akiujua waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013, ni za kutunga. Juzi, wakati akieleza uamuzi wa kikao cha...
Back
Top Bottom