Recent content by Mustin

  1. Mustin

    Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

    Lissu ni kizazi kinachowakilisha falsafa mpya ya kuwa hata km una mazuri meeengi km mwl.Nyerere yapo mabaya coz hakuwa Mungu,Mtume,Mwenyeheri au Nabii hiyo ni juu yetu kuchukua mema yake yote bt tujifunze na mabaya yake tusije kuyarudia,mawazo yake yasiwe ndio mwisho wa upeo wa tz kufikiria. Tz...
  2. Mustin

    Tunawaogopa wazanzibari au niunafiki wa muungano

    Ki ukweli hakuna sababu ya msingi ya serikali mbili,cha muhimu tume nayo moja au tatu km ilivyopendekezwa. Wanaotaka Serikali mbili ukiwauliza huwa hawana majibu yakuridhisha zaid ya gharama na msimamo wa chama,mwingne bungeni juzi anasema msululu wa viongozi kutakuwa na trafic jam. Bila kujua...
  3. Mustin

    Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    M2n Ur more technical,we don't understand when you say codes 54 & 56 So,u promise xmaster user could be on air soon without any new update!
  4. Mustin

    Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    Thx m2n Mi npo gizani na avat yangu,yan cjui kitafufuka au ndio ntolee
  5. Mustin

    Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    Jamani ntajuaje hii ni xmaster ya ferreri
  6. Mustin

    Katiba Mpya na Serikali Tatu: Warioba amvaa Gharib Bilal kwenye kikao, hali yachafuka...

    Jamani msishangae,watu tunaishi kwa kusikia tu ooohhhserikali 3 gharama,mara nikinyume na chama chetu au uroho wa madaraka,mzee Warioba anajua alichofanya na ni kwa maslahi ya Tanzania hivyo mwananchi ni jukumu letu kuunga mkono watu na mambo mazuri mwa mustaka ali wa Taifa
  7. Mustin

    Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    Duh hii poa but mbona wadau wa xaster wanasema channel zmepotea hewani
  8. Mustin

    Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Wazo ni zuri lakini ki ukweli mishahara ni midogo sn na kuna hatari serikali ikapoteza kodi ya PAYEE coz wiwango vya wiki ving vtaangukia chini ya laki1 ambayo haitozwi kodi. Imagine we ni graduate mzoefu unapokea salary ya laki 6,kwa wki laki1.5 toa makato ya kisheria eg.LAPF,NHIF(BIMA YA...
  9. Mustin

    Je kuna Madhara yeyote ya kubadili rim size ya tyre

    Yapo madhara,kwanza gari inapoteza stability yake (uwezo na utulivu ikiwa barabarani),pili inakula mafuta kiac ukilinganisha na awali,tatu inapoteza uwezo wa kukata kona ktk angle kubwa coz tairi inagusa body,nne carrying capacity inapungua coz uwezo mnepo una limitiwa na space ndogo kt ya body...
  10. Mustin

    Msaada wa Moderm ya Voda 3.7G

    Nimenunua modern bt nikiichomeka kwny computer inaonyesha imekuwa connected ila nashangaa nikifunguu internet haifunguki ipo offline,nmejaribu sn kuweka kwny computer tofauti mambo ni yale yale. Naombeni msaada wa kuifanya ifanyekaz vzr
  11. Mustin

    Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    Yap,hayo maneno bado tunasubri hzo udates
  12. Mustin

    Msaada

    Msaada eti kuna king'amuzi kinaitwa xmaster na kinaonyesha channel gn?
  13. Mustin

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Ni mawazo yake professor Baregu,haina maana kumuona msaliti katiba zipo na ndio maana znafanyiwa marekebisho au kuandikwa upya pale znapotokea changamoto. Siasa ni zaidi ya katiba,km huna ushawishi wa hoja utabaki na katiba yako na lengo la kukamata dola likawa ni hadithi icyo na mwisho...
Back
Top Bottom