Mkuu ungetupa uzoefu wako wa biashara ya nyama kwa sasa MTU aliye Dar :
- mikoa ya kununua ng'ombe na gharama zao zikoje
-usafiri mpaka kufika Dar unakuaje
-mauzo kwa sasa yakoje kwa MTU anaechinja mwenyewe na kuuza butcher zake
Natanguliza shukrani
Habarini katika kufatilia mambo ya ununuzi wa mazao kama ufuta na korosho huwa kunakua na taratibu za tofauti kidogo hasa kuhusu minada ambayo huwa inatangazwa tarehe na wanunuzi hujitokeza kununua.
Personally nilikua nikielewa kua mnapoenda kwenye hii minada mnaanza kushindana bei kama ilivyo...
I
Iko poa sana kwa nchi yetu tools zipi can be used for competitive intelligence? Wenzetu wanatumia zaidi technology na hasa sababu information zao nyingi na biashara ziko kwenye systems na sites ..tunaweza analyse tools chache au mbinu za kutumia kwa nchi zetu kufanikisha hili..baadhi...
Habarini wanajamvi kwa yeyote mmiliki wa canters kuanzia tani 2 na kuendelea naomba aniwhatsaap 0744043886 kampuni yetu inataka kumi (10) kwaajili ya distribution ya products zake Dar es salaam...
Naomba kuwasilisha na karibuni 0744043886
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.