Recent content by MussaMsami

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

    Hawa wapuuz wanatoaga taarfa zao wakifikir kila mtu ni nyumbu!! Unapiga risas kwa mfugaji alikua na silaha gan?? Na kupiga risas juu inauwa vp! Au kapigwa na ganda la risasi!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna hitilafu ya Umeme. Mikoa iliyo katika Mfumo wa Gridi ya Taifa Kukosa Umeme

    Mitaani mbona mgao upo hata kabla ya tarehe tajwa hapo! Nchi imerud kwenye mgao wa umeme bila kutangazwa lkn ndo uhalisia kwa sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Mkitaka haki na usawa Labda wasimamizi wawe Wakoloni yaan wazungu ndo watusimamie sisi bado saaaaanaaa! Maana wasimamiz wenyewe ndo wateuliwa wa ssm
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Shule ya Sekondari ya Meta, wagoma kufundisha kudai mishahara

    Duh kibaya zaid nakumbuka juz tu ile milion700 ya walipa kodi ni bora ingewalipa walimu au ingefanya maendeleo mengine! Hamasa kwa wachezaji sio mbaya pia sio lazma kutoa pesa nyng kiasi kile, hata Kuwaiti ikulu na kupata nao chakula na kuwapa posho kidogo ingefaa!! Haya sasa
  5. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rufaa za CHADEMA Simiyu zagonga mwamba. Wagombea 200 waenguliwa

    Hahah anaupiga Mwingi...!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Ile nchi ya Aman Huu mwendelezo wa Utekaji tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM atahadharisha Serikali kuendelea kukopa, asema kukopa sio sifa

    Mmh huyu atafukuzwa kaz wakat sarikl etu inatakiwa kusifiwa sio kuambiwa ukwel
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa aagiza Mchakato wa uanzishwaji wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Jjiji la Dar uanze

    Ninachoona ni njia ya upigaji dar uiite hata PORI LA AKIBA haisaidiii kitu watu wanaishi na kaz znaendelea kama kawaida mngepambana hv miaka ya 80 au 90 sio sasa Naona mnapagawa na Uchaguzi tu
Back
Top Bottom