Matatizo mengi hapa nchini huwa endelevu kwa sababu ufuatiliaji wake huwa ni wa msimu, mpaka janga litokee ndo ufuatiliaji unaanza, tukio likiisha ufuatiliaji wa kukomesha tatizo unakoma na kusubiri tatizo jingine tena, huwa hakuna ufuatiliaji endelevu.
Suala la ajira kwa watoto ni jambo...
Suala kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile kwa watoto limekuwa likijitokeza Mara kwa Mara hapa nchini. Suala hili linatakiwa kuangaliwa kwa umakini na kutafutiwa mwarobaini wake mapema.
Chanzo cha tatizo hili:-
(a) Malezi (maadili) mabovu kwa watoto. Nilikuwa nikifanya research kwenye...
Mchango wangu in kama ifuatavyo:-
Uchumi na biashara- Serikali itoe elimu kwa wananchi kuhusu biashara na kodi, pia iweke kodi rafiki kwa wafanyabiashara ili watu wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi washawishike kuwekeza katika biashara na uchumi wa watu na taifa utakua. Pia serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.