Alikuwa mchepuko hii ndo faida ya kuwa na mchepuko pindi inapotokea km hivi huwa wanasaidia sn huyu mchepuko alikuwa anajua wanangu kitambo hata watoto nilikuwa nawatuma kwake
Yamenikuta km yako mi ni mwaka mmoja nyuma tena mke wangu na nina watoto nae tumegombana kwa kisa kdgo tu nikamludisha kwao amekaa km mwaka kwao lkn tunaendelea na mausiano yetu km kawaida siku ya tarehe 1 mwenzi wa 10 saa kumi 11 nampigia cm anapokea mtoto analia ananiambia baba njoo kanisani...
Hayo ni maandiko yameagiza tuwe ivyo lkn hulka yetu si kupenda ndo mana biblia inaimiza mana ukweli kwamba wanaume si wapendaji bali ni watu wa kutamani na wanawake wengi ni viburi biblia inaagiza watutii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.