Recent content by mushongokle

  1. M

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Hata mitaa hiyo uwa wanaiitaga salasala mfano kabla ya kukata kona hile ya kwenda IPTL kuna njia ya vumbi inapanda juu panaitwa salasala pia.
  2. M

    Mbwembwe zote za G7 zimeishia kwenye kikwazo cha dhahabu ya Urusi

    Mbona anatoka Sasa nje ya Urusi mchambuzi wa Vita .?
  3. M

    Hivi wenzangu huyu ‘Super Power’ Urusi mnamwelewa?

    Watanzania muvi za vita zimetuharibu Sanaaa muvi ya kivita si ndani ya lisaa limoja imeisha. Libya mwenyewe na uchovu wake kulinganisha na NATO akupigwa wiki moja
  4. M

    Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Shida mkiona muvi za ki ulaya Na America wanavyoigiza sijui kuwapiga maadui ndani umya ya lisaa mnataka katika uhalisia,Hivi kwamfano Nchi kama Tanzania Kwa ukubwa wake unaweza ndani ya Siku 3? Uichukue Morogoro,Mwanza,Musoma,Dodoma, Kagera,Songea ,Mbeya,iringa ,Katavi,Arusha,Kigoma n.k hapo...
  5. M

    NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

    Kwani Katika Nchi zilishambuliwa na NATO mwanachama wake alipigwa Kwanza?embu nipe mfano Mmoja.
  6. M

    NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

    Sababu ya wao kwenda Libya ilikuwa ni nijit? Mwanachama wao alipigwa na Libya?
  7. M

    NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

    Ni Russia Mzee sio Libya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. M

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

    Kwahiyo ata Russia anaweza kuwastaki ambao wamesitisha kununua gas kwao kwasababu siamini kama kulikuwa na kipengele kwamba ikitokea mmeanzisha vita au kuingilia Nchi flani tutaacha kununua gas?
  9. M

    Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

    Unajua hile vita ya kumuondoa Sadam Hussein ilichukua almost Mwezi Mmoja, Ukraine ni moja ya nchi ya pili Kwa ukubwa Ulaya unadhani itakuwa Rahisi kuichukua yote?
  10. M

    Barabara ya kivule Kuelekea banana ni hatari kwa usalama wa afya za abiria

    Nzuri hiyo njoo uone ya Makoka hii ya kutokea Riverside
  11. M

    Kuna kama mlipuko wa homa na mafua dsm

    Aise watu Wengi wanalalamika Mimi mwenyewe Jana Hali ilikuwa Tete.
Back
Top Bottom