Recent content by Mushi_plus

  1. Mushi_plus

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Aisee tupambane saana mkuu, Wacha tuzidi jaribu fursa hii ya korosho inshallah inaweza tutoa kwenye dimbwi la umasikini
  2. Mushi_plus

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Niko na hekari 150 na nimefanikiwa kufyeka kama 50 hivi !! Inshallah kiangazi hiki namimi nioteshe mbegu za mikorosho masika inayokuja naimani namimi ntatia mikorosho shambani kwangu🙏🙏😊 Niko jiranii saana na Itigi
  3. Mushi_plus

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Nashida na mbegu au miche ya mikorosho napatikana maeneo ya itigi sijui ntaweza pata Kwa bei Gani? 0699665649 Whatsapp ...!! Namimi nimeoaza hela Kwa kununua heka hamsini na kuzifyeka changamto tu ni miche
  4. Mushi_plus

    JamiiForums Tanzania Huu uchawi wa mondesta una asili ya wapi?

    Habari za Muda huu wanaJF, Kuna kitu napenda kufahamu kuhusu UCHAWI WA MONDESTA. Origin yake niwapi na pia unatumia majini ya chuma ulete au? Nauliza hivyo maana huku mtaani kwetu asilimia 70 ya kaya wamejiunga na hiyo kitu na wanaitangaza kabisaa wazi wazi na imekua kama fashion mitaani...
Back
Top Bottom