Recent content by Mushi001

  1. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam

    mwanzo nilipanic bru asante umenitia moyo..
  2. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam

    kwenye second selection ndo nikaambiwa nimekuwa provisionally selected ila first nilikosa kabisa then wamenijibu leo asubuhi ndo provisionally selected ud course ndo hyo geograph and eviromental studies nilichagua mara yakwanza na kwemye secondround ya ud haipo hii course hapo nakuwa na wasiwasi
  3. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam

    hakina ladha kweli mkuu
  4. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam

    poa mkuu
  5. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam

    hahhahahahaha
  6. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam

    Wakuu habari zenu, Nikuwa selected UDSM kwenye provisionally results by TCU course ni enviroment and Geography studies na nilijaza first round hii caurse, Second round hawakuitolea majibu hii caurse. Nauliza hapa inakaaje[emoji17]
  7. Mushi001

    JamiiForums Tanzania UDOM 2 batch selection pdf

    wapi
  8. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    kwa tusibiri ya round ya pili??
  9. Mushi001

    JamiiForums Tanzania TCU: Mfumo wa Udahili wa pamoja(CAS) umefunguliwa kwa Awamu ya Tatu

    n kwasisi ambao bado hatukupata majibu second round baadhi ya vyuo inakuaje mkuu
  10. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    daaaa sante mungu mmi niliaply second ukipata taarifa usisite kutujuza mkuu daaah naweza kupumua sasa
  11. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu tarehe ya kuripoti chuo cha (NIT) 2016/2017

    naomba link nipate kuangalia maana wengi tuliaply
  12. Mushi001

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu tarehe ya kuripoti chuo cha (NIT) 2016/2017

    samahani mkuu NIT washatoa post za degree jamni[emoji17]
Back
Top Bottom