Recent content by Mushi Masawe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

    Na ndio maana huyu mzee kaamua kusepa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Ndio Tz hii babu yangu Mushi na Masawe babu yangu,majina ya mababu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Never bwashee labda sio Tz.
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Mnatuangusha sana i see... Nasikia hata hotuba ya bajeti ya waziri mkuu Mbowe ameshindwa kujibu. Analeta lugha mbovu na malalamiko ambayo hayapo kwenye bajeti. Tunamsubiri hai we ngoja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

    Wabunge na akili zenu timamu mnakula pesa za walipa kodi alafu mnaenda bungeni kutoa hotuba iliyojaa uzushi. Mnazunguka na kamati za bunge mnakula posho za bure,badala mjibu hotuba ya bajeti ya waziri mkuu, Kub analeta habari zingine kabisa. Kwamba mlikula virungu au Kub hana nyumba na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Usiniletee dharau,kwa hiyo mimi ni Mkara?
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Kwani ukoo wa Mushi umezuiwa kuoa akina Massawe. Acha fikra mbovu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Sasa kama Rais wa sasa anapiga kazi tufanye nini. Sisi tunasimamia kweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Mwambie aangalie Tbc aone jinsi CCM inavyofanya kazi ndio maana hatutaki ujinga. Ukweli tutaiusema na ukabila hatutaki.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Vijana wetu walipomzomea mlisema hivihivi ati wamenunuliwa. Haya maana sisi umri umeenda tumeshaona mengi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Utaona kwa macho yako mwezi october mtarudi kupiga mziki.
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Hata iweje na matarumbeta au nini hatumtaki tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

    Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu. Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais Magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya. Mbowe hapa Hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa...
Back
Top Bottom