Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Katika hali isiyokuwa yakawaida Spika amezuia hotuba ya msemaji mkuu wa kambi ya upinzani bungeni
Spika amesema hotuba hiyo imejaa upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kulikuwa na member humu. Alileta hoja ya "BUNGE KUWA MTUMWA" Aliyaeleza vizuri kuhusu utumwa huu, wa bunge kuacha majukumu yake na kuanza kazi ya kujikomba kwa watawala. Bunge tena si wawakilishi wa wananchi bali iko pale kwa niaba ya serikali dhidi ya wananchi.

Odhis *
 
Hali isiyo ya kawaida kivipi? We umesikia makosa yao yote toka kwa spika halafu unatetea upumbavu.
Chagu , ukiwa spika wa bunge la vyama vingi, huwezi kusikia yanayokufurahisha maskioni tu. Wapinzani wasikilizwe lakini wengi waamue . Ndiyo kanuni ya kuongoza mabunge pote duniani . Siyo hii ya bunge kugeuka kikaragosi cha serikali dhidi ya wananchi.

Odhis *
 
Wabunge na akili zenu timamu mnakula pesa za walipa kodi alafu mnaenda bungeni kutoa hotuba iliyojaa uzushi.

Mnazunguka na kamati za bunge mnakula posho za bure,badala mjibu hotuba ya bajeti ya waziri mkuu, Kub analeta habari zingine kabisa.

Kwamba mlikula virungu au Kub hana nyumba na mshahara wa Tundu Lissu unahusika vipi?
Muwe mnajibu subject matter acheni kupoteza muda.
 
Ningekuwa spika wa JF hata huu uzi ningeufuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai ameruhusu hotuba chache sana za upinzani kusomwa na amezuia hotuba nyingi sana za upinzani kusomwa katika "regime" yake...Logically ni kawaida kwa Ndugai kuzuia hotuba za upinzani bungeni...

Kwahiyo ingesemwa tu "...katika hali ya kawaida Ndugai amezuia hotuba ya upinzani kusomwa.."...Ingetokea kusomwa bila kuwekewa vipingamizi ndo ingekuwa habari..ingesomeka...".. Katika hali isiyo ya kawaida spika ndugai ameruhusu hotuba ya upinzani kusomwa bungeni...
 
Nilisha comment juz kwenye habari mchanganyiko
Uzi uliiokuwa unasema #lugha za Kilimanjaro zipo mbioni kupotea
Nilitaja makabila mawili yanayoongoza kwa usenge duniani na wewe mtoa post unaapia kwenye group lako
 
Back
Top Bottom