Recent content by mushhh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Inabidi tufike kipindi kue na uongozi wa majimbo ka usa kila jimbo likusanye mapato yake na lifanye matumizi kivyake... So ka kipindi hiki kodi tukusanye wengine alaf et kinajengwa kiwanja cha ndege uko bush Ifike maali kila mtu atumie anachokusanya. Makodi mengiiiiii alaf matumizi yake hayaeleweki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

    Mnatuponda sana sisi wachagga kwan hakuna kabila jingine la kuongelea.....lkn tutazidi kuwanyoosha tu maana hakuna namna
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

    Utauza.lkn so tz labda rwanda mkuu wanamkubal sana
Back
Top Bottom