Recent content by musa patrick

  1. musa patrick

    Hakika uhongozi huu umetufundisha kuzitambua haki zetu

    Ndugu kwanza kabisa nimshukuru mwenyezi mungu kuniamsha salama na kuiona siku ya Leo hakika mungu anatupenda pia nimshukuru mhe wazir wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola kwa nini nimshukuru kwani zile pikipiki zetu zilizokuwa zinaozea polisi hakika tembelea vituo vya polis hazipo tena na kwa sasa...
  2. musa patrick

    Hakika Watanzania Tuna bahati

    Na hilo ndilo tatizo la watanzania wachache kusifia uhongo na ukweli ukapuuziwa
  3. musa patrick

    Hakika Watanzania Tuna bahati

    Ni sawa lakini ujue kila mtanzania anamuangalia yeye kazi ya uongozi bwana ni kipaji na tambua huwez kurekebisha kila idara ila kwa jinsi anavyoongoza 90% anafanya vizur just imagine watanzania tupo zaidi ya milioni 50 na kila mtu hapo anataka apate huduma sawa na mwingine kweli hata kama ni...
  4. musa patrick

    Hakika Watanzania Tuna bahati

    Kwanini nasema hivyo wana jamvi Mimi binafsi nimejaribu kuangalia nchi za ukanda wetu huu wa Afrika sijaona Kiongozi mchapakazi kama mzee MAGU Raisi wetu ukibisha utakuwa ujitambui na hakika unatakiwa kuombewa kwa kutojitambua na kuona neema hii tulioletewa na mwenyezi mungu Hakika Tumtunze kwa...
  5. musa patrick

    Muungano wetu na Uchaguzi Kinondoni: Tafadhali wanasiasa msitutoneshe

    Imekaa vizur mkuuu muungano wetu inatakiwa udumishwe
  6. musa patrick

    Yericko Nyerere: Nafasi ya Ukatibu Mkuu CHADEMA

    Kama ni k k utakuwa umechelewa
  7. musa patrick

    Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare alazwa Hindu Mandal

    Ndugu kuumwa si tatizo katka maisha ya mwanadamu ila tatizo ni wewe kwani taarifa umeitoa kana kwamba Chadema ndio chanzo cha kuumwa kwake. Ndug think twice before you keep
  8. musa patrick

    Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Kweli nimeamini Tanzania kuikomboa ni vigumu labda tutegemee Muujiza kwa Muumba wetu
  9. musa patrick

    Goodluck Ole Medeye aikimbia CHADEMA. Atimkia UDP

    Haina shida hili ni basi wanashuka na wengine wanapanda
Back
Top Bottom