Recent content by Musa Bangi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sinema ya Gwajima Sterling ni nani?

    Hahahahshaha Polisi wajinga tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Jengo la Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Siku ukiona jengo la Gwajima utashangaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Hujui unachokiongea ila unaropoka tu kama mtoto mdogo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Acha kuongea upuuzi wewe kwani Gwajima alikemea kanisa la Rc? Au alimkemea pengo na ulitembelea waumini wake ukakuta wanakula mlo mmoja? Sijui umekula maharage ya wapi wewe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima na Polisi: Ahojiwa kwa masaa matano, atakiwa kurudi wiki ijayo

    Sijui umekula maharage ya wapi wewe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima na Polisi: Ahojiwa kwa masaa matano, atakiwa kurudi wiki ijayo

    Umelogwa na aliyekuloga ashakufa sasa kiongozi wa kisiasa anahusikaje na mambo ya kidini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima na Polisi: Ahojiwa kwa masaa matano, atakiwa kurudi wiki ijayo

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima na Polisi: Ahojiwa kwa masaa matano, atakiwa kurudi wiki ijayo

    Unaakili ndogo sana na ufahamu wako sio mzuri jichunguze sana Hakuna mtunishi wa Mungu anayechaguliwa na watu Bali Mungu humchagua mtumishi wake anayependezwa nae na kuweka karama ndani yake sasa wewe kama unafikili mtumishi w Mungu lazima achaguliwe na watu umepotea sana na ujichunguze sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mali za mtu zinapohojiwa baada ya kuwa na Mashtaka (Gwajima's scenario)

    Sijawahi ona serikali pumbafu kama hii Mali za Gwajima zinawahusu nini wameshindwa kuwahoji mafisadi leo hii wanahoji mali za Gwajima si bure kunakitu hapa katikati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Gwajima ni mtu wa tofauti sana na ni mfano wa kuigwa na watumishi wengine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima aelezea mkasa wa kilichotokea

    Kama hujui kitu ni bora unyamaze kimya kuliko kumtukana mtumishi wa Mungu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima aelezea mkasa wa kilichotokea

    Acheni kutukana watumishi wa Mungu maana hujui kesho yako itakuwaje
  13. M

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima aelezea mkasa wa kilichotokea

    Leo unamtukana Gwajima kesho na kesho kutwa utakuwa mshirika wake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Gwajima ni mtu Shujaa haogipi nani kasema nini na kwa nini ukipindisha Maneno yeye atakunyoshea Maneno bila kupindisha pindisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Nampongeza Gwajima kwa ujasili alionao
Back
Top Bottom