Kwa upande wngu bro Kama ulivyosema ujue hapo mwanzo Liverpool ilionekna ni timu mbovu Sana lkn kwa sasa ni timu tishio duniani na ulaya kiujumla lkn ukiangalia mechi dhidi ya Leicester city,Tot na Man City inaonekana wazi kabisa wanamtengenezea Liverpool achukuel EPL ,Kama ni hivyo bac kubwa...
Ndugu zangu naomba msaada na ushauri wenu katika hili,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology. Napenda sana kusoma maana maisha yangu yanategemea sana elimu. Lengo ni kuwa na ufaulu wa juu sana lakini kila nikijitahidi kusoma naishi GPA 3.5. Natamani sana kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.