Nikikaa mi hii ndio top 3 yangu sijui wewe mdau!
1. Yondo sister Yondo Sister - Mbutumutu | Muziki.net
2.Sokous star Sokous Star - Sophia | Muziki.net
3.Pepe Kale Pepe Kalle - Gerant | Muziki.net
Kuna scandal kwamba huu wimbo wa Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net umekua sampled kutoka moja ya nyimbo za mwanadada mJamaica, sasa ingawa watu kibao hufanya hivyo ulaya na inakua kitu cha kawaida, je kwa hili letu nani alalamikiwe?
kitendo cha huyu jamaa kuhamia kwenye kutiririka mi sikielewi kabisa, au ndo muziki wenyewe huu wa sasa ...wauonaje wimbo wake huu Ferooz ft Shaz Dear - Ndege Mtini | Muziki.net ?tiririka........
je wewe ni mmoja kati ya wale wanaokubali kuwa biashara ni kujitangaza?
na hizi music websites zaturahisishia upataji wa music nchini?
mfano BONGO STAR LINK , Popular songs | Muziki.net , na zingine kibao ambazo sijabahatika sizikia...toa maoni yako
twarudi kule kule, yawezekana ikawa sasa ni muungano ccm na chadema sote tunaulilia, au Juma Nature nae aliona kwa jicho la tatu Juma Nature ft Prof J - CCM na CUF | Muziki.net
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.