Recent content by murongo munene 2019

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hivi mnadhani nikiondoka madarakani ndege, reli, hospitali zitajengwa? Kwanini huko nyuma hawakufanya haya?

    Wanaofanyaga maamuzi sio CDF huwa ni ma lieutenant colonel wa kawaida kabisa wenye ushawishi jeshini toa shaka mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba za mateso (Safe Houses) Uganda na kupotea kwa Ben Saanane Tanzania

    Safe house CIA wanazo kila nchi hapa duniani tena nchi nyingine wanazo kadhaa siyo moja hata hapa tz wanazo safe house
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe Hauawi. Mahabusu watuma salaam kwa Magufuli. "Asante ila usitubague!" Magereza zalipuka kwa shangwe, vifijo na vigelegele kumshangilia JPM

    Duu paskal kweli umeona mbali baba sarakasi hii ni kubwa kweli kweli na kuna watu imewalenga hakika kabisa hichi ni kiini macho kwa ajili maalum hakika umenena kwa mambulula hawatokuelewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa wasiojulikana: Waporomoshwa vyeo wote

    I doubt not in tz
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilichotakiwa kujengwa Mbezi Mwisho hiki hapa. TANROADS mnakosea wapi?

    I'm civil engineer yap upo inatakiwa kujenga overpass just that na wala sio gharama kubwa just retaining wall more fill n the bride n folleni is history hey tanroads ndyamukama mfugale aangalie I hilo mlitekeleze ni rahisi sana haitaji hata kumshirikisha jiwe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth!

    [emoji849][emoji849][emoji849][emoji120][emoji120][emoji120]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe Robert Mugabe ni pigo kwa Afrika

    Na kweli kabisa hamna pigo lolote kwa dicteta kama mugabe kufariki alikuwa kiongozi wa ovyo kuliko unanyofikiri amewaacha wa Zimbabwe hoi ni yy na familia take pekee ndo waliokuwa wakiishi peponi na comred wa zanupf waliomhakikishia kubaki madarakani mwisho wa siku akataka kumrisisha mkewe urais...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

    Ikishikwa yetu sote watanzania, ikiachiwa mnaenda kuipokea ndege yenu @ccmtanzania haya mungu ni wote sote nisimalize maneno
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

    Sawa tunakubali lakini usifananishe CIA na hii kitu yetu wale wenzetu hata no 1 akiwa anazingua nae pia wanamfanyia zengwe na anakalishwa either by assassination or other way, wapo wachafu lakini huwa hawa survive
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

    Alikuwa anaishi mbweni mrefu, sura ngumu, refer uzi wa mkuu wa watu flan flan kuna picha yake amevaa shati la draft
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupendane, tusaidiane, tushirikiane na tushikamane, lets stand as one. Ila pia tuelezane ukweli, why tumekula ng'ombe mzima tukabakiza mkia

    Kujali masikini wapi unaowaongelea ww umaskini umekithiri mara dufu katika awamu hii milo miwili tu imekuwa mtihani Achana na mitatu sasa sijui ww unaishi nchi gani unayoiongelea hapo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Humu ndani kuna viazi mbatata wengi na huyu ni mmoja wapo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupendane, tusaidiane, tushirikiane na tushikamane, lets stand as one. Ila pia tuelezane ukweli, why tumekula ng'ombe mzima tukabakiza mkia

    Kwanza jaribu kutofautisha kati ya taifa na serikali watu wanapinva utawala dhalimu unaosigina katiba wa serikali ya awamu ya tano, sio taifa la awamu ya tano taifa letu litabaki serikali dhalimu itaperish
Back
Top Bottom