Recent content by murimi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Chadema ni JANGA la TAIFA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe alikuwa anasita Zitto asifukuzwe ndani ya chama?

    Mbowe ni janga kwa Taifa. Na bado kuna Misukule Haitaki kujitambua. Kawashika pabaya
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    Kakojoe Ulale.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Alianza lini na hilo Tatizo? Kama ni tangu alipokuwa mdogo sina la kukuambia. Ila kama limemuanza uzeeni basi ni vizuri ukampeleka akafanyiwa vipimo vya Kidney. Kama anazo symptoms nyingine unaweza kuzisema??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa alipua ufisadi mkubwa; ataka Ofisi ya Bunge ichunguzwe haraka

    Dr Slaa ni Janga la Taifa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aga khan hospital - Dar

    Kama Dactari hajui CLINICAL METHODS, Basi hata kama atapewa Vifaa vya Maabara vilivyotengenezwa leo Bado atakuwa hawezi kutibu watu. Ndio maana kuna Clinical Diagnosis....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa waziri mkuu ni sawa na mshara wa zaidi ya walimu 50

    Je! Wapinzani wakiingia Magogoni watabadilisha hiyo Mishahara au na wao wataendelea kujiburudisha na Kuku!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli,Ubabe katika shughuli za Serikali umepitwa na wakati!

    Acha Magufuli afanye kazi yake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Kikwete toka Cuba

    JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA. Wanafunzi Watanzania nchini Cuba. 26/09/2013. Cuba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aigeuka rasmi bodi Bandari, kuivunja

    Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe ameipa siku moja Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari (TPA) kutaja majina ya watu wanaoiba mafuta katika bomba kubwa la kupakulia mafuta bandarini (SBM). Alisema wezi hao bila woga wowote wametoboa bomba hilo ambalo ujenzi wake umeigharimu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Heche kujipanga kuwa Mbunge Tarime 2015

    Apigwe tu huyu tumechoka, Kasababisha nimepandwa na bp bure kwa kichwa cha habari kisichofanana na habari yenyewe!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Specialties, Cuba.

    Get informed about the Specialties in Cuba!!! Infórmarse sobre las Especialidades en Cuba!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yajue maisha ya wanafunzi cuba!!!

    Wana JF, Kuna nyepesi kwamba wanafunzi Watanzania wanosoma nchini Cuba Maisha ngumu kweli Kufuatia hali ya maisha kuwa juu sana ukulinganisha na pesa yao ya mkopo wanayotumiwa na HESLB! Waliomba Govt iwaongezee lakini mpaka leo wamepigwa chini, wanaendelea tu kujililia maisha magumu huko waliko...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Slaa anaganga njaa...
Back
Top Bottom