Recent content by Muree

  1. M

    JamiiForums Tanzania PPFT: Askofu Kakobe usitumie mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi

    Wakuu huyu mchungaji lkongo hana tofauti na yuda ninazo habari zake nyingi tuu kwanza Ikulu ni kama nyumbani kwake jukwaa la wakriso kunawakati walikuwa wakimtumia kupeleka maamuzi yao kwa Rais kufika kule akawageuka akasema jukwaa la wakriso linataka 2015 ccm isishinde Bali wachukue dola...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Na wewe vipi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

    Ninawapongeza hawa maaskofu jamani sio wanafiki kama wengine walivyo wanafiki.wengine ni wakina Yuda tu, wengine wanajifanya hawataki kujihusisha na hili la Tanganyika yetu.watadaiwa siku moja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je kuidai tanganyika yetu ni dhambi ? Salaam za askofu zachary kakobe watu wakimsiliza 20.04.2014

    wewe mpuuzi tu na hujielewi mpagani wewe. Nyie wafuasi wa shetani mumdhalilishe nani? Jaribu mwone kama mnadhani Kakobe ni hao wachumia tumbo mlozoea kuwahonga? Huyu ni mtumishi wa Mungu aliye hai.
  5. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Huyu baba Askofu ni wale watu wasiohongeka huyu siyo mchumia tumbo. Hata Kikwete anamjua sana ni kwamba haingiliki. Kiongozi wa dini anayeshabikia serikali dhalimu kama hii huyu sio mtumishi wa Mungu ni muuwaji, big up Bishop Kakobe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Nyie wakina abakorakamo mnaleta ubabaishaji ili kuivuruga mada iliyoko mbele yetu. Hili jambo ni la msingi sana kwetu na kwa vizazi vijavyo Tanganyika ni lazima irudi ni suala la muda tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Asante sana baba Askofu Kakobe tunakushukuru kwa kutuelewesha kwa kutumia maandiko. Tanganyika yetu yunaipenda na tunaitaka. Mungu akuzidishie maisha marefu ili watu wamjue Yesu wajue na haki zao pia.
Back
Top Bottom