Recent content by Muramo

  1. M

    Basi la AM Coach lapata ajali Ipuli na kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja

    Jamani serikali fanya juhudi ili kupunguza ajali za barabarani!
  2. M

    Nape Nnauye: Viongozi wa UKAWA ni genge la wasaka madaraka kwa njia yoyote

    Muungano ni mzuri ila usiwe wa maslahi hasa ya madaraka! Muungano ndio uliondoa KANU ya Kenya madarakani hivyo Nape anawasiwasi kuwa Ccm wanaondoka madarakani 2015""! UKAWA go ahead you'll successed !
  3. M

    Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    Inakuwaje askari anapima ajali huku wanakijiji wakimshangaa barabarani? Kwanini askari huyo hakwambia hao with watoke?
  4. M

    John Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu

    Hizi ni mbinu dhaifu za ccm na hakuna haja ya kutishia amani ya nchi yako huku unajiita mzalendo na kiongozi! Haya yote rais anayasikia na kuyashuhudia ila kwasababu ni mwana ccm basi no further action! Please Mr. President be neutral and act as the head of the state coz our lives are on your...
  5. M

    Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Jamani ccm hawana aibu? Hata katiba ya vizazi na vizazi wanataka kuichakachua? This is now getting the worst!
  6. M

    Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Tulishazoea na ccm na njama zao za udanganyifu lakini sasa wajue kuwa tuko makini kuliko maelezo! Wao wafanye wafanyavyo lkn wananchi sisi ndo final! Voting tu will show them that we're tired of their sweet lies!
  7. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Uvunjwe coz kama kweli ni muungano? Why are we asked for passport when travelling to Zanzibar? Why Zanzibar has her national anthem and flag?
Back
Top Bottom