1. Tunaambiwa Dira imekusanya Maoni ya Watu 10000 Plus .. Hilo sio Tatizo, Tatizo baada ya kukusanya hayo maoni ni watu gani wanatakiwa kukaa na kuchangua kisha kuandaa Dira?
2. Dila lazima ijikite kuwenye vitu vichache amabavyo ni vipaumbele vya nchi .. Kwenye mapato na kwenye matumizi.
3...
Dira inatengenezwa na Jopo la wataalamu kwenye mambo ya Uchumu, Nishati , Maji , Viwanda , Kilimo , Tourism na sector ambazo nchi inataka kuweka projection ya miaka 25 , Mwaka mmoja mmoja mpaka kufika 25 Years . Dira haitengenezwi kwa kuuliza Kaya kwa Kaya 😀
Dira ingekuja na Graph na Key performance indicators .Figures na Projection .
Ninachokiona na Maneno Mengi yasiokuwa na scientific back up !
Botswana wana Dira ya Miaka 25 .
Mambo makubwa wanayoweka humo .
Miundombinu ya barabara .
Wanaontesha kila mwaka watajenga km ngapi za barabara ...
Mkuu naomba nisome tena .
1. 2100MW ni maximum capacity ya 9 Engine Turbine , Ambayo kila moja inakadiliwa kuwa na max 235MW. Ukiambiwa hivi maana yake uzalisha mara nyingi unakuwa 90% ya kiwango cha juu. wasomi wa umeme tunajua tunaita power factor
2. Utafiti uliofanywa na wabobezi kutoka...
Mkuu sio kila uzalishaji utakuwa sawa kama hesabu zako .
1. Kwanza kupata zote 2100MW kutategemea upatikanaji wa Mvua .Mvua isipokuwa ya kutosha hatuwezi kupata maxmum capacity .. Pia fahamu tukipata ukame kwa miaka kadhaa tunaweza kushindwa kuzalisha umeme kabisa . Mungu aepushie mbali.
2...
Tanesco need to be held accountable for their failures of providing adequate services.
As people we are not communicating, putting enough pressure on this institution/ leaders. Have we just chosen to accept whatever thats happening? What are we fearing exactly?? A basic right?
I heard that...
Tatizo halikuwa kwa Ikulu .ikulu hawalazimiki kutoa details zote za Mwaliko wa Rais.
Kitima anazo source za kutosha za habari za kujua anaalikwa Ikulu kwa shughuli gani? Alikuwa na muda wa kutosha kupata taarifa na kuamua.
Hata Fr Kitima hana kosa kuuzulia hafla hiyo. Maana ukipinga jambo na...
#DSTV_na_Utapeli_wa_ofa_Nashauri_Muache.
Tarehe 10 July 2023, Nipo ndani ya Kikao muhimu na wadau wa serikali tukijadili issues muhimu kwa mstakabali wa nchi yetu.
Mara Simu yangu inaita na ni namba ngeni, Nawaomba hudhuru wana kikao naomba nipokee simu maana ni namba ngeni, wananikubalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.