Sisi sio watoto wadogo, unga unaouzwa Bongo haupiti uwanja wa ndege, wala haubebwi kwenye hivi vibegi vya kusafiria wala mtu kujipeki.
UNGA UNAPITA BANDARINI, NA SIO KWENYE MABEGI, UMEPEKIWA KWENYE VIPULI VYA MAGARI NA MAGARI YENYEWE. Kwenye vipuli vya Baiskeli na MITUMBA!
We mtu anaagiza tu...
mi wananiudhi kweli hawa jamaa, badala waanze na akina sie ambao hatuna hata kacheti wanadeal kwanza na mijitu ambayo iko kazini na inapiga hela za kutosha! Tena na kwenda kusoma nje na kwa udhamini wa serikali! Wizi mtupu!
Halafu akina sie baadae tunaambiwa hakuna udhamini! Haileti maana hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.