Recent content by munyaruganda

  1. M

    Bado miezi michache wafunge ndoa, mwanaume ana mwanamke mwingine tena ana ujauzito wa miezi 4

    Nyota njema huonekana asubuhi na dalili ya mvua ni mawingu. Akiolewa ataipata fresh ya shamba
  2. M

    Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Ninavyisema miezi mitano ni kama mfano tu. Ila jamaa anaweza kununa hata mwaka na zaidi. Ndo maana nikalileta huku. Na anafanya chini juu nisipate hata jinsi ya kuchepuka kwa sababu anajua ukame nnaopata
  3. M

    Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Naendelea kuwasikiliza ushauri wenu ambao mwisho wa siku utanielekeza njia sahihi ya kuelemkea
  4. M

    Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Ndg yangu kununa kwake kama nilivosema mwanzo yeye ni jambo la kawaida. Na kama kuomba msamaha nimeomba saaaaana kamaa unavyoona ni ndani ya miaka 13 maisha yamekuwa ni hayo. Ndo maana niko kwenu kujaribu kutafuta jinsi ambayo pengine sikuwahi kuitafuta
  5. M

    Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.
  6. M

    Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.
  7. M

    Hii imekaaje

    Mume ananuna miezi miwili na chumba anahama. Inawezekana?
  8. M

    Kiwanja kinauzwa

    Mawasiliano please. Muhimu
  9. M

    Jihadhari na wizi wa mtandao simu: 0658-051817

    Twafwa na Katanzania ketu. Mpaka lini?
  10. M

    JK atakuwa amevunja rekodi za dunia kwa utawala mbovu wa kubadilisha mawaziri kwa uzembe wake

    Hatareeeeeeeee. Anastaafu lini jamani? Akistaafu nijuzeni nirudi Tanganyika yangu
  11. M

    Naomba kujuzwa washauri wa Prof. Jakaya M Kikwete!

    Rudi TANGANYIKA HUSIEJ NA MADENI. TANZANIA anadaiwa mpaka mimba tumboni mwa mamake.
  12. M

    TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    So sad. Upumzike kwa amani ustailipo.
Back
Top Bottom