Recent content by munyakwiringa

  1. M

    Lowassa 2015

    Nimekua nikimfatilia Lowassa na nimebaini haya yafuatayo: Lowassa pamoja na kuwa afya yake bado si nzuri lakini si dhaifu. Nimekuwa nikifatilia anachozungumza na nimebaini kina nguvu kuliko watu wanavyotazama afya yake. Ni tofauti na wagombea wengine na namna wanavyoongea wanaonekana wanaudhaifu...
  2. M

    Matamasha au Kampeni?

    Kampeni za Mwaka huu kuelekea uchaguzi mkuu zimekuwa na sura tofauti kidogo na miaka mingine hoja ya kujaza watu mikutanoni imepewa kipaumbele kikubwa na kuongeza makeke kwa pande ambazo ni kama hazina uhakika sana wa kupata watu kwenye mikutano yao wasanii wengi nao wamekuwa kwakiyumbishwa na...
  3. M

    Kali ya leo: CCM walikimbia jukwaa wakati nguvu ya umma ikizuia msafara wa Juma Duni

    Hivi Magufuli mkewe hayupo au ndo mfumo dume?
  4. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ndugu wanajamvi nimemsikiliza Dr Slaa na kaniacha na maswali kadhaa 1. Alipozungumzia mshahara aliokuwa akilipwa chamani kwa nafasi yake na kusema pamoja na mshahara kuo aliamua kuwekeza chamani na yeye na familia yake kula maharage na mihogo Swali: Kama ndivyo ilivyo Nani amelipia Gharama za...
  5. M

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Songea

    Jana kwenye mkutano wa ccm Songea Nchimbi alisema hatutaki bora rais tunataka rais bora na rais huyo ninani maelfu wakajibu Lowasaaaa akajaribu kufunika funika lakini ka video kametembea sana kwa fb
  6. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mpaka sasa lowassa anapigiwa kampeni kweli kweli
  7. M

    Tumia njia hii kuhakiki data zako za kupiga kura

    Hii ni kwa dar pia? Zoezi la dar limeanza? Maana nimejaribu naambiwa niende kwenye kituo
  8. M

    Tumia njia hii kuhakiki data zako za kupiga kura

    Hii ni kwa dar pia? Zoezi la dar limeanza? Maana nimejaribu naambiwa niende kwenye kituo
  9. M

    DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

    Hizo graphic zinatusaidia nini? Hivi hayo ni maendeleo?
  10. M

    Viungo vya mwili kufa ganzi: Elewa Chanzo, Tiba na mambo muhimu ya kuzingatia

    MIKONO NA MIGUU KUFA GANZI INASABABISHWA NA NINI? NUMBNESS IN HAND AND FEET TATIZO LA MIKONO/MIGUU KUFA GANZI Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na...
  11. M

    Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    Mshahara wa Dhambi ni Mauti na kawaida ya mauti wakati mwingine huja kwa Homa ya muda Mrefu kisha umauti hutokea, kuna maneno katika biblia yanasema usidharau siku ya mambo Madogo. Upinzani wa mwaka huu pamoja na kuwa ccm wanaiga na kusema si tishio kwao ni vyema wakatafakari upya wapi wamekosea...
  12. M

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Hata wakifunga cctv wanawataalamu? Maana cctv pia inahitaji wataalamu pia.
  13. M

    Hii nchi bwana kila kitu usanii, eti leo Slaa, Rostam, Mengi na Lowassa lugha moja

    Na Je ikitokea ikawa kweli mtafanyaje?maana kimsingi naona watu wamepanic hakuna hoja ya msingi. Zitto alianza kusemwa kuwa yupo Act Kabla hajatoka chadema na watu mkaongea sana mkisema ni fitina Leo ndo CEO wa act na bado akipiga mkutano anapata raia wa kumsikiliza. So usishangae wengine...
  14. M

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Kumbe wana pesa? Sasa kwanini wasiimarishe uwezo wa kiintelijensia kwa askari wao? Maana si kawaida watu wawe silaha zote hizo afu asiwepo hata wa kujitutumua kwa kituo kikubwa kama kile.
Back
Top Bottom