Nimeona post nyingi zikiulizia kuhusu uhakiki wa data za mpiga kura!
Mimi nilitumia njia ya online juzi nikafanikiwa kuona data zangu zikiwa sahihi! Inaonekana bado wanaendelea kuload data hivyo kuna baadhi ya watu mnaweza kuta bado data hazipo, ila baada ya muda zinakuwepo!
Ingia tu kwenye hii link ya nec:
voters.nec.go.tz:8081/vote
kisha ingiza namba ya kitambulisho chako inayoanza na T kama ilivyo andikwa kwenye kitambulisho!
utaletewa record ya data zako kuona kama ziko sahih! kama siyo sahihi,kuna sehemu una click kupata maelekezo ulzaidi!