Recent content by munroe

  1. munroe

    JamiiForums Tanzania Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Mkuu nakuelewa nimetaja ng'ombe wa aina na umri tofauti kwa ujumla ng'ombe wa maziwa wanaanzia 600k kwa ndama wa miezi minne kuendelea hadi 3.5m wamaziwa wanauzwa na ndama wao tafadhari huu sio utapeli hahitaji utume hela tunataka ujeshamabani tushauriane mambo mambo mbalimbali ya ufugaji Asante.
  2. munroe

    JamiiForums Tanzania Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Tunao ng'ombe wazuri wa maziwa wanaoweza kifika hadi lita 30 kwa siku Wapo Ndama Nusu mitamba Mitamba tupu Mitamba yenye mimba Waliozaa wanauzwa na vindama vyao vyenye umri wa chini ya miezi mitatu Wenye maziwa Wenye mimba na maziwa Mimba kubwa Karibu bei ni kawaida tupo rungwe mbeya Tupigie...
  3. munroe

    JamiiForums Tanzania Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc. Namba zetu :0756416149 :0717847599
  4. munroe

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Bora ungekaa kimya usikilize watu wenye uelewa wakuelekeze vizuri jambo hili kuliko kuandika hizi takataka. kwani ukiwa chama tawala ndio hata akili unatumia za viongozi wako
  5. munroe

    JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    Haya majizi na mafisadi papa yamepata upenyo sasa
  6. munroe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kazi ya CHADEMA ya kusambaza “No Reform, No Election” imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi

    Mfumo uliopo hakuna uchaguzi mamlaka ya raisi dhidi ya tume na vyombo vya usalama ni kubwa mno ambaye ndio mwwnyekiti wa chama chake na mgombea
  7. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Aryshire
  8. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Amezaa ana week moja ndama wake jike
  9. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Unaweza chukua majike tupu wenye Mimba kwa baadae utakuwa unawafanyia upandikizaji, au upate dume mmoja bora
  10. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Tupigie 0756416149
  11. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Ng'ombe wazuri saana
  12. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Ndugu zangu bei nikulingana na sifa za ng'ombe mfano mwenye maziwa lita 20 kwa siku bei yake 2.7m Kwa maelezo zaidi nipigie 0756416149
  13. munroe

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

    Tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, freisian, jersey. Na crossbreed zake Bei zake ni rafiki kulingana na ubora wake Tunao ndama, nusu mitamba,mitamba, wanaokamuliwa, wenye mimba kubwa Wenye mimba na miziwa na kuendelea. Tupigie au tuma ujumbe WhatsApp kwa picha na maelezo zaidi...
  14. munroe

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ni fursa kubwa kiuchumi

    Tupigie 0756416149
Back
Top Bottom