Recent content by Munni

  1. Munni

    Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

    Natamani kujua kwanino kuna foleni hiyo njia mana barabara ni pana. Foleni huwa inasababishwa na nini??
  2. Munni

    Ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga elimu zaidi itolewe kwa jamii

    Hakuna kitu ambacho sikujaribu kwa wakati huo labda mwani maha haukuwa unatangazwa sana kama sasa. Ila supplements na mitishamba nilitumia sana lakini sikuona matokeo. Nikakubaliana na hali kuwa sikuzaliwa na kiwango kikubwa cha kuzalisha maziwa hasa week za mwanzo baada ya kujifungua
  3. Munni

    Wanawake wakifika sokoni wanauliza gharama ya bidhaa zote ndio maana wanachelewa

    Hilo nalo ni kosa 🤔🤔🤔 Umekosa kitu cha kuwasemea umeamua uje na huu upuuzi. Hamchoki 👋👋
  4. Munni

    Ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga elimu zaidi itolewe kwa jamii

    Nilitumia kila kitu nilichokuwa naambiwa kuwa kitafaa ila nadhani msongo wa mawazo na hofu kwa baadhi yetu huwa unachangia kukosa maziwa. Mtoto wa kwanza yeye alipewa maziwa yoka tupo hospital. Ila huyu wa mwisho nurse alikataa kabisa nisimpe chochote na ikachangia kupata hiyo manjano sababu ya njaa
  5. Munni

    Ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga elimu zaidi itolewe kwa jamii

    Mimi pia mtoto wangu wa mwisjo alipitua hii changamoto nashukuru Mungu tulivuka salama kwenye hili. Nachoona ni mtoto kukosa maziwa kwa wakati mimi huwa nakaa mpaks siku 2 ndo maziwa yanatoka. Waruhusu maziwa mbadala kwa wale wenye changamoto ya kukosa maziwa mara baada ya kujifungua
  6. Munni

    Mrejesho: Nina wasiwasi na huyu dogo

    Huenda wangemsaidia pale ulipowaambia. Ila ndo basi tena mambo ya wazazi kuona watoto wao ni saints 😥
  7. Munni

    Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

    Wanawake wengi??? Ulishafanya tafiti au ni kwa demu wako tu. Mi nipo dar na sijawahi kukikna wala kusikia
  8. Munni

    Wanawake mnaowakataa wanaume huo ujasiri mnautoa wapi?

    Huna tofauti na wale vijana wakitongoza binti na kukataliwa wana waua. Sio lazima kila unachoomba upewe lakini pia huenda huna hadhi sawa na unayemtongoza tafuta level zako
  9. Munni

    Akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia "Maternity bag"

    Haliuzwi sehemu ni unatajiwa vifaa vya kununua wewe ndo unaenda vitafuta. Labda kama siku hizi wemerahisisha kwa wale wavivu ila sio lazima uchukue hapo
  10. Munni

    Akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia "Maternity bag"

    Begi ni lolote unaloweza kuwekea vifaa, Pamoja na vifaa vilivyotajwa hapo juu ni vizuri pia waweke khanga kadhaa, vitenge na nguo za mama mjamzito za kudalisha baada ya kujifungua. Huwarahisishia sana kazi nurses wanaowahudumia wajawazito mana begi huwa lina kila kitu hivyo hata mama hasumbuki.
  11. Munni

    Napenda kufahamu kuhusu Rajab Zomboko wa 'Hawavumi lakini Wamo'

    Ila kuna watu wana roho mbaya yani unaweza kuta hata sura hawamjui lakini wanavyomponda ni kama wanalala na kuamka nae daily
  12. Munni

    Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

    Kwanza siku hizi wanawake hawalii mamy kama ume notice hilo ni mijibaba tu ndo inashinda kulialia hapa.
  13. Munni

    Flaviana Matata

    K Wa hiyo unataka kusema mtoa mada ni mwanamke??
  14. Munni

    Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Shangaa na wewe mama mana nimeona jinga moja hapo juu linalaumu wanawake kwa kukaa na mashoga wakati wafiraji hawaongelewi
  15. Munni

    Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Uache kulaumu wanao mfira uje ulaumu wanawake una kichaa wewe kwani walimshikia miguu. Mijibaba ya jf mnakera kila tatizo lawama mnawapa wanawake khaaa kwa style hii ya kulalamika acha muendelee kuliwa tu
Back
Top Bottom