Recent content by munkango

  1. munkango

    JamiiForums Tanzania Kuibiwa na kupotea kwa Nyeti ni symbolism inayoelezea hali inayoweza kuwa inaendelea nchini

    Huu ujumbe uko vizuri sana kuhusu Wanaume kupambana na kuacha kulalamika.
  2. munkango

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya kwa mafundi, kuweni makini

    Kazi za ujenzi ni ngumu sana na inabidi kuwa na uangalifu sana. Migogoro mingi inahusu malipo na ubora wa kazi. Kuna hatua kadhaa inabidi kuzichukua. 1. Kabla ya kazi kuwa na mkataba ulioandikwa. 2. Kuwe na hesabu ya kazi iliyoandikwa ikielezea kazi zinazotakiwa kufanyika na gharama zake. 3...
  3. munkango

    JamiiForums Tanzania Tujizuie kutoa majibu mepesi kwenye mambo mazito ya kitaifa, kwa sasa kuna wasomi kila sehemu nchini

    Ni maajabu sana kuwa kwenye nchi yenye madini ya dhahabu eti umewekwa utaratibu wa kuwa na hofadhi ya dhahabu isyozidi tani tano. Sababu zenyewe za kuuza wanadai ni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu. Miundombinu ipi? Je bajeti imefeli?
  4. munkango

    JamiiForums Tanzania Maana ya jina Tanganyika: ( Likud Observation)

    Kama jina la nchi Tanganyika lilianza kutumika baada ya Mkataba wa Vessailess kama Tanganyika Territory. Hapo kabla eneo hili liliitwa German East Afrika. Uchaguzi wa jina ulitokana na uwepo wa ziwa Tanganyika.
  5. munkango

    JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    Aboud Jumbe hakufukuzwa uanachama wa CCM bali alivuliwa Nyadhifa za Umakamu wa Rais wa Muungano na Urais wa Zanzibar. Pia alipelekwa Kigamboni
  6. munkango

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    Hali ilikuwa hivyo. Wanakata kama Tanesco
  7. munkango

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwigulu: Acha Ufyatu - Kuharibu Muharibu Nyie, Kuwalaumu Muwalaumu Wale!

    Mwigulu anaongea kwa kufoka. Anamfokea nani? Kama hawataki kujirudi na kukiri uhusika wa serekali katika maafa ya uchaguzi ni bora wakae kimya. Wanavyoongea wanaharibu zaidi.
  8. munkango

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM kubalini yaishe, mtamponza Mama Samia

    CCP ya China ni chama chenye maono na wanatumia Meritocracy yaani Uwezo wa Kiongozi unakuwa vetted na muendelezo wa matendo na akili yake kwa muda mrefu. Wanapanga mipango yao mbele ya wakati. CCM kwa upande wake ilikuwa wakati wa kuundwa kwake ikiwa na misingi ya kutetea Wakulima na...
  9. munkango

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilipigwa risasi kwenye maandamano, nimepona, ila Samia ni sehemu ndogo sana ya tatizo kati ya matatizo makubwa tuliyo nayo

    Pole sana Nimekuwa natafakari bila majibu namna polisi walivyoweza kufanya mauaji ya kikatili vile. Kwa lipi walilokuwa nalo? Au wanajiona nao ni tabaka tawala? Nakosa majibu.....
  10. munkango

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Weka utabiri wako juu ya majibu yatakayotolewa na tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025

    Nimekumbuka tume ya Jaji Kisanga ambapo baada ya kutoa taarifa, Rais Mkapa alifoka kuwa walienda nje yaa maelekezo. Kwa hiyo; hii tume iko na script tayari
  11. munkango

    JamiiForums Tanzania Mlishajiuliza kwanini wachina hawajasema chochote mpaka sasa?

    Wachina ni wanajali maslahi yao na hawana muda na mambo ya haki za binadamu
  12. munkango

    JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar kuna nini cha zaidi huko?

    Zanzibar kuna mji mkongwe na urojo, pia kuna fukwe nzuri huko Nungwi, Kendwa, nk. Pia kuna Pomboo(dolphins)huko Kizimkazi Dimbani. Kuna pori la Jozani lenye Tumbili pia kuna shamba la viungo huko Kizimbani.
  13. munkango

    JamiiForums Tanzania CP Camilius Wambura wanaopanga na Kuratibu maandamano watakiona

    Cheo chake ni IGP
  14. munkango

    JamiiForums Tanzania Yule mtu aliyetuambia ya kwamba Idd Amin Dada ni mtu mbaya alitukosea sana

    Idd Amin alikuwa amechukua Nchi ya Uganda kwa Mapinduzi hivyo ilikuwepo hali ya mauaji ya watu walioshukiwa kuwa walitaka kumuondoa madarakani. Pia Nyerere aliwapa hifadhi Obotte na watu wake na kuna kipindi walishambulia Uganda na kuchapwa. Pia vita ya Kagera Nyerere hakuwa na sababu ya...
  15. munkango

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Uganda wanatuuzia umeme muda mrefu. Umeme unaotumika Bukoba unatoka huko
Back
Top Bottom