Recent content by munjy1

  1. munjy1

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Dr Shika inawezekana haya yote aloyafanya ya kwenda kwenye mnada wa nyumba mpaka kufikia hapa watanzania na serikali kuwa na taarifa zote hizi Dr Shika ametumia akili yake ya KIJASUSI apate publicity ili aweze kupata msaada wa Serikali ili aweze kupata Fedha zake. So hizi zote ni setups ambazo...
  2. munjy1

    Tech & Gadgets: Jukwaa linavyozidi kupoteza Threads zenye mvuto na old members 2015

    Hata mimi nimepotea kitambo sana na huwa napitia kwa mwezi mara 1 au 2 katika Jukwaa ila naona maada zote hazina mvuto hata kukupa hamu ya kuchangia au kusaida na yote ni kohofia kutusiwa maana ilifikia hawa new commers kututusi hadi niliomba uwongozi wa JF wafute thread zangu zote na comments...
  3. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    we umekutana na mwizi na sio fundi wala sio mfano wangu mimi huyo kukula hela tu
  4. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    nadhani ukisoma hii post mwanzoni na hilo neno CANALSAT 22w na d**v 36 na 68 nadhani ukiziwekea mouse utaona kwamba hizo ni link ambazo zinakupeleka kwengine ambapo utaona channel list
  5. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    Boss hao wanaotangazia dish inch 100 inaweza kuwa ni NASA agent, hahahaha au inaweza kuwa hamjafahamiana tu lugha, wao pengine wamezungumza kitaalamu au kifundi na wewe hufahamu lugha zao hao mafundi na wataalamu au wajanja.
  6. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    advantages ni kwamba hutalipia dola 88 kila mwezi kwa dstv na hautalipa dola 100 kila mwezi kwa canalsat, dis advantages ukiwa huna internet au salio katika simcard yako au modem huwezi kuona channel yeyote na disadvantage nyengine na advantage nyengine nawaachia wanaotumia watowe maoni yao.
  7. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    nadhani hiyo ndio ishu ya kujadili mtu ataje kitu kwa expirience yake but kuanza kumwita mtu tapeli sio vyema sababu hakuna niliyewahi kumtapeli sio humu tu jamii forums bali mitandao yote mimi huwa mtu namueleza ukweli kabisa anapopiga simu nampa advantage na disadvantage then nampa option ya...
  8. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    Boss umetumwa na makaburu nini udanganye watu kuwa havifanyi kazi ili mupate mawauzie vidude vyenu watu wakulipeni dola 100 kwa mwezi
  9. munjy1

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    Qsat Q28G Jee ni teja la soccer la Ligi za Ulaya? usihangaike kutafuta vya bei ghali, solution ipo hapa, bila ya kujali dstv wanaupgrade au laa Q28G ndio mkombozi wako, inakuja na account ya SPYCAM miezi 6 kwa ajili ya DSTVEutelsat 36E na DSTV Intelsat 20 68.5E na miezi 6 kwa ajili ya Canalsat...
  10. munjy1

    Pata offer za Decoder Q26VIP2 na Q23VIP1 pamoja na account zote za cccam kwa bei nafuu

    JEE unahaingaika kupata ving'amuzi ambavyo vinauzwa bei ghali na vinauwezo wa kufanya kazi ya kufungua channel kama za dstv na canalsat kwa bei nafuu? Mkombozi wako bado yupo na anaendelea kutoa huduma zake kupitia Home ya Decoder na Dongles pia bila kusahau bei zangu ni unbeatable huwezi kupata...
  11. munjy1

    AZSKY G6 rise of the fallen and Qsat come back

    Tofuta post za nyuma uone yeye na wezake wawili walivyokuwa wakitukana. Then utajua kwa nini nimeshindwa kuwastahamilia mara hii na niliiweka hii post kwa lengo la kuwatafutia hawa watu sababu ya kuja kulipiza kisasi maana mie niliwaambia kuwa Qsat haitakata kombe la dunia na azsky hautamaliza...
  12. munjy1

    AZSKY G6 rise of the fallen and Qsat come back

    wanisamehe labda kwa kutukana leo but sijawahi kumkosea mtu humu na wala sihitaji msamaha wa mtu yeyote yule
  13. munjy1

    AZSKY G6 rise of the fallen and Qsat come back

    kwa kweli sijataka kucomment ili watu wapige simu kwa maelezo zaidi watakapo shindwa kuelewa nilichoandika katika website yangu, ila leo naomba JF inisamehe kwa sababu nitakwita jina MPUMBAVU kwa makusudi na kukutukana hadharani na sio kwa bahati mbaya, wewe ndio wale niliokuwa nikiwatafutia...
  14. munjy1

    AZSKY G6 rise of the fallen and Qsat come back

    Nachukuwa nafasi hii kuintroduce Website yangu mpya pata habari muhimu kuhusiana na azsky na qsat na huduma nyengine zinazohusiana na donggles na Mpeg4 decoders http://www.munjy1.com/habari-muhimu.html sitajibu comment yeyote
  15. munjy1

    Remote ya QSat q15g Imekufa naomba Msaada

    Ni vyema unipigie simu kama unahitaji remote maana nilikuwa sijapita jf muda refu leo ndio nimekuta pm yako pia. Namba yangu inapatikana katika munjy1.blogspot.com na katika signature yangu ya jamii forums
Back
Top Bottom