Recent content by munisijo

  1. munisijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wako ni mzuri sana ni kwa vile tu umemzoea sana

    Ulivyoandika tu hard working ndio umeharibu Kazi kubwa na kuu kuliko yote ya mke ni kumtii na kumheshimu mumewe, mengine yote ni ya ziada tu. Baada ya utii na heshima sasa ndio mume anaanza kuhesabiwa makosa, nje ya hapo mume will always be on the right.
  2. munisijo

    JamiiForums Tanzania Japo yuko nje ya nchi Freeman Mbowe achangia zaidi ya 50 mil ili kuwezesha Kongamano la BAWACHA Mlimani City

    Unazingua. Unalipenda yai lakini humpendi kuku?
  3. munisijo

    JamiiForums Tanzania Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

    mtuhumiwa wa 5 kati ya 4 waliofikishwa mahakami kayeyukia wapi?
  4. munisijo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Na wewe ukamwamini Jackie Chan??? Lol
  5. munisijo

    JamiiForums Tanzania Wazazi mmekuwaje?

    Such a wonderful overview ... Labda tu nikuambie, hilo ni suala la kawaida sana na linatokea kwa karibia watu wote women/ old men with job; I have also been there na naamini baadhi ya sababu ni kama zifuatazo: 1. Kwa wanawake, muda sahihi wa kuolewa ni as soon as possible vile mnavozidi kuwa...
  6. munisijo

    JamiiForums Tanzania Nina mgonjwa nahitaji kwenda India naomba connection

    Mkuu Pole sana na pole nyingi zaidi kwa mgonjwa, tunawaombea faraja na uvumilivu katika kipindi hivi kigumu Experience APOLLO ni 1 ya hospital bora kabisa in terms of support, price and customer services. APOLLO have 1 of the best support system kuanzia patient recruitment, support na huduma...
  7. munisijo

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

    Kingine ....... Dar, wali huliwa na zaidi ya mboga 1 na mara nyingi mboga 3 ama zaidi jumlisha maji ya kutosha ama soft drink, say nyama italiwa na maharagwe pamoja na veggies wakati mokoani na vijijini hii sio sana. Na ukishazoea, mboga mboga huwa zinakawaida ya kukaa sana tumboni kuliko...
  8. munisijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

    Just know that, you will never win :)
  9. munisijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Either ndoa ni ubatili ila watu wanafanya siri, au mimi natumia sana akili au sina akili, au niliempata hastahili

    Well said Kuwa kama maji, ndoa ni kitu rahisi sana Ndoa ni kitu rahisi zaidi mkiwa na watoto Ongeza mtoto utanishukuru
  10. munisijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini whites wanapenda sana hot African girls

    Easy answer - Coz black moto moto nao wamezidi kupenda whites LOL
  11. munisijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa busara, amemfukuza mke wake kwa sababu yangu

    Chema chajiuza na kibaya chajitembeza Kama ni mwanamke mwema na hawana ndoa, mwambie tu afuate vitu vyake muoane Kwani shilingi ngapi, ye si kasusa
  12. munisijo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Hiyo ni dalili ya maturity na kuwa na akili nyingi Hongera
  13. munisijo

    JamiiForums Tanzania Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

    Nimeona aibu mimi, dah
  14. munisijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    As long as mmeshaoana then kwa kuanzia kabisa huyo ni wako. Haya kwenye kwenye ombi la ushauri sasa: 1. Fanya mbanga u confirm kama mtoto ni wako ama lah, kama ni wako then jipige kifua; umevuka kihunzi cha kikubwa cha kwanza 2. Usidanganyike na ukamilifu wa uyaonayo, ndoa nyingi sana...
Back
Top Bottom