Habari wana jamii forum poleni sana na majukumu ya kila siku na harakati za kutokomeza hili zimwi jipya la nga'mbo linalotuandama..kwa waliofunga asalaaam aleikum mola aendelee kupokea dua zenu..haya niende moja kwa moja kwenye mada..ilikuwa mwaka 2015 sikumbuki mwezi wala terehe wakati nikiwa...
Asante kwanza kwa kuelewa maana imekuwa ngumu kwa mtu kuelewa labda awe mtaalamu kdg wa haya masuala mm pia mwanzo nilishindwa kujielewa lkn baada ya kukutana na wataalamu na kunieleza kidg nmepata mwanga...kama matibabu nifanya sana n session nishaenda jama zote lakn tatizo limekuwa mm kwny...
Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu.
Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa...
Binti wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam anatafuta kazi iwe ni usaidizi wa kazi za nyumbani za kwenda na kurudi au mgahawani.
Ni mchapakazi, msafi na mpishi mzuri sana.
Kwa anayehitaji AniPM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.