Recent content by Munguwetu

  1. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    Umegundua eee. Watu hatuna Maji DSM hii Hii
  2. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    Angekuwa serious tusingekuwa tunakosa maji ya mgawo Jijini kisa presha down na wanaofungua wanafanya watakavyo. Taarifa zimejaa jukwaa la Dawasa
  3. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Wilaya na mikoa inayoongoza matokeo ya mitihani

    Na kwenye magari Yao. Nilicheka kukuta gari limeandika imeshika nafasi ya 1 kimkoa
  4. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Hii ya karma is real devil is lier. Haikutuma Europe. Wazungu waliwaua wote wanaohusiwa kuwa wachawi
  5. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Mleta Uzi ametukimbusha tu lakini hivi vitu vinafanyika. Mpuuzi mmoja nahisi amenifanyia hii kitu
  6. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Karma is real, devil is lir. Yule jamaa alitunyoosha Sana watumishi. Binafsi sijui sababu yake ilikuwa ipi
  7. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Wilaya na mikoa inayoongoza matokeo ya mitihani

    Waxinguaji
  8. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Hapa ni akili tu kuchuja ichukue habari ipi
  9. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Ndio hivyo. Napata habari za siasa. Napata habari za sports. Napata habari udaku. Napata habari za umbea gossip. Napata habari zaidi ya kwenye magazeti. Tena news ambazo ni hotnews
  10. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume

    Anakula Kwa kutumia! Okay
  11. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume

    Naomba kujua umario ni nini
  12. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Matokeo yao lini hawa
Back
Top Bottom