Recent content by Munguwanguu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM kuondolewa madarakani ipo dhahiri baada ya wananchi kuelewa sera za wapinzani kuziamini

    Faiza foxy inchi za wenzetu wana zungu mzia treni za umeme na na serikali kuwa na ndege za kutasha wewe unmeng'ang'a na barabara 54 four years? Tangu uhuru?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Muleba kwenye mkutano wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Ndugu gentamycine nakuombea kwa Mungu akusamehe bure, tafuteni hoja zingine lakini si ugonjwa, lakini ikiwezekana Mungu atende muujiza yote umneneayo binadamu mwezio yakurudi mwenyewe. Asante sana ndugu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Nyumbani ninapoishi ni kilometers 2 hadi kituo nilicho jiandikisha, umbali huu utanichelewesha kupigakura kumchagua rais wangu Lowassa. Nimehama jana kwa muda ili niwe karibu walau mita 500. Asante Jehova.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Moto wa mabua unachoma tanuli na tofali zimesha wiva. ULIPO TUPO.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Lowassa ndani ya Ruaha

    Wewe MFYU. Kama unaona elimu bure hadi chuo kikuu haiwezekani HAPA TANZANIA, ww kaa pembeni mtupishe sisi wengine tutachagua elimu bure tuone kama itashindikana. Ulipo tupo. EL.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vipi na nyinyi mmegundua tatizo la muda kwenye simu yaani kuwa dalika 5 mbele?

    Kweli kabisa na mimi nimeliona hilo tatizo.
Back
Top Bottom