Recent content by Mungu ni pendo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii: Prof. Jay tusemee bungeni na utupiganie!

    Wala sinunui ma cd yao nanunua za Kinigeria na waliosuport UKAWA tu hawafai kabisa tena wasimsumbue alipambana mwenyewe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

    Master Pla nimemjibu huyo sina maana ya hoja yake ambapo si kweli najua Lowasa ni mshindi hili halina upinzani na tuna machungu sana. Unisamehe kwa kueleweka vibaya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

    Hata ungeenda wewe na mkeo anavaa maksi na haongei vibaya usingepata watu wanahonga na kuiba vitu anavyofanya huyo mshindi waulize wa huko mfano kwa Tibaijuka napo ni tabia nzuri? je Chenge na wengine wana lugha nzuri? mbona wameshinda? je kushindwa kwa Lowasa mkewe ana lugha au vaa vibaya? siku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Didas Masabuli asubiri kuapishwa tu

    Jana gari 50 uda zimesomba watu kuwaleta uwanja wa TP kwa nn wanajidanganya nilishangaa sana na kuhakikisha ili angalia woote wana sare na angalia ukawa uone tofauti watu hawaletwi upendo humsukuma mtu kufanya bila shuruti ama kweli tumeona mengi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    LOWASA hana maneno ni mtendaji namkubali.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Nilikuwepo hapo ni makaburini sinza hapo ni wakati wa kusali baada ya mchungaji kumaliza kusoma neno la Mungu
Back
Top Bottom