Recent content by Mungi2304

  1. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?

    Wadau nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na ushauri wenu. Namshukuru Mungu hatimaye mimi leo ni shahidi. Hela yangu imerudi kwenye account yangu. Ahsanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?

    Walionyesha, ila baada ya kulipia seller akataka nilipe gharama zingine ambazo hakuonyesha kwenye maelezo ya bidhaa. Nikaomba ku cancel order na sababu nilizotoa ni hizo gharama ambazo hakuonyesha kabla Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?

    Ok, shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?

    Shukran sana ndug, wao wametuma kwenye email kwa nimekuwa refunded, nitawajuza vp ebay. Procedure za kuwajulisha ebay ni zip ndg? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaribu Sofasoccer Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?

    Wakuu habari! Hapo juzi tar 22/12/19 nilinunua mzigo ebay, lakini baadaye tukashindwana na seller gharama za usafirishaji kwa dhl, Nika request kucancel order. Bila shida seller alicancel order na kunitumia email ya kunirefund na wanasema inaweza chukua mda pesa kuingia kwenye account yangu...
  7. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Je, wajua bundles zinazotolewa na TTCL? Jionee mwenyewe

    Wadau msaada, wanasema watumishi plus ni kwa wateja waliosajiliwa tu, vp wanamaana gani kusema waliosajiliwa? Je waliosajiliwa kuwa watumishi au?
  8. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Jamhuri yampandisha kizimbani Emmanuel kwa kutoa (Publication) taarifa za uongo kuhusu KICHAA

    Kijana huyo genius sana, amewatoa mapovu sirikali, sasa sijui kwanini sirikali inajishtukia, labda wanahisi wanasemwa wao. Huyo kijana anashinda hiyo kesi mapema
  9. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa bado wako kilocal sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bank zote nchin haziruhusu kuwithdraw pesa kutoka makampun ya kubet. Wapigie NMB 0800002002 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utapata baada ya miaka 5. NMB hawaruhusu kupokea pesa kutoka hayo makampuni, hapo sahau. Badili mbinu ya kuwithdraw na siyo mnb Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tottenham Mungu anawaona mnachofanya [emoji29][emoji29] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo vp Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Madrid karudisha Hapa over 3.5 inawezekana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mungi2304

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sh ngap? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom