Recent content by mundaliku

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matamko/maazimio ya USA na EU yamesaidia nini wapinzani Afrika?

    Ukumbuke hata wapinzani wengine ni mapandizi na wanafiki.,sasa kama wewe na wenzio mlioikimbia Chadema Lisa hamumtaki Lisu inaweza kutegemea nini!! Hata kwenye andiko lako umetaja watu wanaoumizwa kwenye nchi zingine umesahau kwa makusudi ya kwako ili usimtaje Lisu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Jamani Tido kwa umri wake ni Mzee,na kwa vyovyote anajipenda,Tido wakati wa Magu alipewa kesi ya uhujumu uchumi. Kwa akili ya kawaida ni lazima aone utawala huu kwake ni muhimu na unamfanya kuwa salama. CCM hawawezi kumuacha salama akileta ujuaji wa maswali ya kuwafedhehesha. Ile ilikuwa ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikitawala miaka 100 zaidi

    Rubbish!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Mwabukusi na TLS yake walipoomba kuonana na Rais bila shaka kulikuwa na maridhiano ya nini wanaenda kujadili. Aidha nijiridhishe sidhani kama ingekuwa busara kwa Mwabukusi kulipukq kuwa tumemuarisha Rais amuachie Tundu Lisu haraka, hiyo isingekuwa na tija kwa yaliyowapekeka. Hata kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana CHADEMA kushindwa kuruka mtego mdogo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama

    Kwa hiyo unamaanisha hata fedha za JMT huwa wanapeleka nusu Zanzibar? Nakumbuka ilikuwa ni 4% ndio inapaswa kwenda Zanzibar.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya

    Hakwenda kama Mwabukusi alienda kitaasisi. Na yule Mkuu pamoja na mapungufu yake anabakia kuwa mkuu wa nchi. Ni sawa na kwenda mahakamani ukamkuta hakimu anyesikiliza kesi yako anamfahamu ana vituko vingi huko mtaani, lakini akishakaa kwenye kiti chake na atakalosema kuhusu ndilo linafanyika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

    Unajua kuna rangi ngapi kwenye bendera ya Taifa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa

    Nadhani hapo kuna upotoshaji, ni kweli Nyerere alikuwa anashauri Rais aliyekuwa Madarakani haswa kwa mambo aliyoyaona hayako Sawa. Wewe Pascal ulikuwepo 1993 wakati wale wabunge wa G55 walipotikisa nchi kiasi cha kumfanya Mzee Mwinyi akose muelekeo na akatunga mpaka kitabu "Uongozi wetu na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    Ukiongelea haki za binadamu hilo la Lisu kupigwa risasi halimo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    Miye siyo mkatoliki,japo penye ukweli lazima tuseme. Tec na KKKT enzi za Magufuli ndio walikosoa wazi wazi na mpaka walitoa nyaraka kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu nyakati hizo. Tec ndo dhehebu lilolitoa waraka wa kuipinga serikali kwa kutuaminisha jamii kutojali sana kuchukua tahadhari...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Huwezi linganisha hawa na wa huku. Traore nje ya kusoma mambo ya kijeshi pia ni Geologist. Wale wa A/magharibi unakuta wana taaluma nyingi nje ya kuwa mjeshi tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Misamaha miwili yenye uzito tofauti

    Kwa nini akamatwe? Na akamatwe na nani? Na wa kumhukumu yuko wapi? Kwanza bado hajamaliza project yake ya kufichua mengi ambayo bado hatujayajua. Na akikamatwa tutayajuaje? Tayari amefanikiwa kutuelewesha wengine ambao hatukuilewa hii NRNE kama ina uhalisia. Alichoongea binafsi nimeamini, na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    Sasa wewe unatuambia nini wakati wenye mifumo wamesema hicho alichosema Polepole aliyeshiriki kusanifu hiyo mifumo,wamesema hakipo na haiwezekani!! Wewe unaiwakilisha taasisi ipi Sasa!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM haijawahi kuwa njema tangu kuundwa kwake. Mwenyekiti Samia simama imara ulipo ulinzi upo

    Sidhani kama unasema kweli,ninachofahamu na kukumbuka huyu Mama Samia aliposhika dola,watu wengi waliamini ataleta mabadiliko ya kweli kama alivyoahidi baada ya kuapishwa. Tulishuhudia watu walioikimbia nchi wakati wa Magufuli wakirudi nyumbani safi kabisa. Akina Mange ni waislam pia walioponda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Mimi uchaguzi wa 2020 nilikuwa nimepoteza kadi ya kupigia kura japo niliambiwa naweza kutumia kadi ya Nida na ndivyo nilivyoshiriki uchaguzi wa 2020 kupitia kadi ya Nida. Hii taarifa aliyoitoa HP imeniacha hoi, imenifanya nijute na kusikitia sana muda wangu nilioupoteza siku hiyo.
Back
Top Bottom